binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Awww! š„°Nakuja na malori matatu yaliyojaa ng'ombe na pesa taslimu juu ilimradi nikupate, siwezi kukukosa wewe

Kenge rafiki yake majiUki toa online, basi kimtaa mimi sina marafiki kabisa.
Chanzo ni Mtazamo, mwenendo na hata maamuzi ya kile tunacho kipigania au kabili.
#rafiki yangu pekee ni sibling wangu wa mwisho na paka wangu.
Mie unafiki tu kama wa Zitto Kabwe na Lissu.....yaani unakuwa na mshikaji mnaelewana kumbe mwenzako anakuchimba na kukuuza ili afurahie kuharibikiwa kwako.Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Hapana, huko PM siji....nataka tukutane live tuzipige mimi nawe, nina hasira sana nayi wana CCM msiojitambua.Sogea pm sasa tuyamalize kitaalamu
Kudeal na marafiki wapendao CCM na diniHi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Hili nalo neno.Rafiki wa kweli ni pesa ukiwa nae hukwami
Nyuzi zako sasahivi zinanitega niingie ndoani nawewe lakini mh! hili zimwi bado sijalikubali...šššHi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Friends are not fansHi people,

Pesa haiwezi kukuangusha, marafiki, ndugu na watu wako wakaribu ukiwa na uhitaji ngonjera na ushauri ni mwingi sana ila haisaidii chochote kama ni ishu ya kifedha.Hili nalo neno.