Ulevi tu!Kutokunywa pombe huwa kuna nifanya nisiwe na marafiki wengi, ila nikinywa napata marafiki wa kweli.
Ndio shindiiUlevi tu!
Ni kweliZamani tukiwa watoto nilikiwa na marafiki tunaopendana kwelikweli ila kwa sasa watu ni wanaa sana... Ukikaa vibaya unakopwa kisha unageuzwa adui, ukikaa hivi unapelelezwa ili utandikwe za uso, hujakaa sawa unajikuta unashughulishwa kwenye mambo ambayo hayana maslahi na maisha yako alafu pia unaweza kubadilishiwa kitu chako cha thamani ukapachikwa kimvuli kinachotembea
Bora pombe zangu ninywee nyumbani hata nikiharibu mama watoto ataniburuza hadi ndani kisha atafunga mlango 🤨
Binti sasa umekuwa mkomavu.Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Shindwa pepo😂😂Nataka urafiki na waifu material ili after end of day tuishie kunaniliana
Pole sana mkuu hata mimi yalishanikuta sina hamu na marafikiAs you grow up,understand your purpose and decide to persue your dreams, losing friends is a must. You find yourself not having time for them every now and then. Personal experience
1. Bestfriend alipojua undani wa mafanikio yangu alinipa mchongo hewa na kwakumuamini nikaingiza hela huko...nilikuja kushtuka nimetapeliwa na mwana.
2. Mshkaji niliyemsupport sana kipindi cha shida ndio alikuwa anamtongoza mpenzi wangu
3. Mwana wa karibu kabisa alijifanya kupitia wakati mgumu nikawa nasumport hela ya kula yeye na familia kumbe nyuma ya pazia anajenga.
Dunia ina mengi
Pole sana mimi najitolea kukutafutia mpenzi kaka jirani yangu hapa yupo singo anahitaji mtuSina rafiki sina mpenzi ni Mungu tu anisaidie
True,marafiki wengi ni dalili za ujamaa uliokithiri unaoleta umaskiniKama una marafiki wengi basi haukui
UKiangalia matajiri wengi, utaona wanafahamiana na watu wengi ila na wana marafiki wachache.True,marafiki wengi ni dalili za ujamaa uliokithiri unaoleta umaskini
Hata makalio yapo mawilimawili wewe kwanini huna mwenzako?Sina rafiki sina mpenzi ni Mungu tu anisaidie
Ana tatizo la afya ya akiliHata makalio yapo mawilimawili wewe kwanini huna mwenzako?
Kuna uwezekano yupo kwenye mapumziko baada ya kutoka kwenye mahusiano yaliyomfanya ajuteAna tatizo la afya ya akili