Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
AiseeUkitaka urafiki udumu kwanza mdinyane 😹😹
AiseeUkitaka urafiki udumu kwanza mdinyane 😹😹
📌📌🔨📍Brains...
I hate socializing with folks without brains, mtu anakuwa yupo yupo tu kama akili imepigwa kimbola...
Wabongo wengi uwezo wa kureason ni average, kama ukicount watu naowasiliana nao as friends maybe wapo 2 au 3 max...
Atakuwa msagaji.Unadinyana na mwanamke mwenzako 😳😳
Ama kuna maana nyingine ya neno kudinya??
Kila la kherihey waifu material nataka ku date😎
Hi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
As you grow up,understand your purpose and decide to persue your dreams, losing friends is a must. You find yourself not having time for them every now and then. Personal experienceHi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Ntafutie huko mtaani kwenuKila la kheri
Hii mbinu ya kivita sana na imetumiwa maelfu kwa maelfu, binafsi siwezi kudinyana na mtu ninayefanya nae kazi, mtu ninayeishi nae mtaa mmoja, wala rafiki,Ukitaka urafiki udumu kwanza mdinyane 😹😹
Nikutafutie nini?Ntafutie huko mtaani kwenu
😹😹😹 Kumbuka venue ni wapi uduguu sasa kutinga kijora si ntajulikana muuza vijora kaingia..!!😂😂😂😂😂😂 wee vaa kijora na mtandio wake km shungi.
Hiyo ndoa hata hainogi mume nyuma kupo wazi bhana..!! 😹😹Uduguu wee hujuagii! Na tatizo hutanielewa.
Ngoja nikusamaraizie.
Wakati niko chuo, kuna mdada nilijuana nae kupitia class mate, sasa ile tukawa mabest kimtindo, sasa kuna siku yeye mdada akasema tutoke, thou mie sina interest na kutoka. Ila nilikubali,
Bas tukasogea maeneo, mate na yule mdada walikua na BF zao pale, mie nilikua lonely. Sasa yule mdada BF wake na wamezaa pia 1 kid, nilivyomuona na kukaa nae pale, nika notice kitu yule jamaa anakula na kuliwa yaani Verse, ukimuona huwezi amini km ni homo, kanyooka haswa, yuko ki Gentleman haswaa.
Tulivyotoka palee, nikamsanua mate, kuwa yule dada BF wake ni homo, mate alipinga na kukataa, had kusema nawawazia mabaya watu km nn, sasa nikamuambiaje usimuambie yule mdada, baadae akasemaje ngoja nimsanue ili amchunguze, bas wakasanukiana huko, mdada akaanza kumchunguza BF wake.
Mie nikakausha zangu, ukapita km mwezi, mate ananambia alooh coca, kweli yule jamaa ni homo, ni anakula na kuliwa, na ana mtu kazini kwake ndo wanakulanaaa.
😂😂😂😂😂😂 nilicheka ile siku, mate anasemaje, sasa had wamezaa, inawezekanaje? Mbna kwa kitanda yuko vizuri anasema yule mdada, nikaishia kumuambia tatizo la wabongo mkisikia Homo mnawaza km ni Delicious, Agrrey, etc kumbe sivyo.
😂😂😂😂😂😂
Ndo hivyo bhana 😹Aisee
😹😹😹 we m-baba taratiibu nasaga nini unga au juice 🤣Atakuwa msagaji.
Uzi tayari kweri kweriHi people,
Happy weekend!!
Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi?
Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back)
Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata
Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar itafanyika namna yoyote tu atokee mwanaume/wanaume atakaye-cover bills zetu, kutununulia zaidi na kuacha some cash
Nashindwana na aina hii ya marafiki,bahati mbaya ni wengi wapo hivi so nimebaki nina watu ninaofahamiana nao tu lakini sio marafiki
Uzi tayari
Na rafiki nakwambia utaonewa wivu muda wote, ukiongea na mdada mwingine tayari bifu linaanza wanaanza kutupiana vijembe..!! 😹😹😹Hii mbinu ya kivita sana na imetumiwa maelfu kwa maelfu, binafsi siwezi kudinyana na mtu ninayefanya nae kazi, mtu ninayeishi nae mtaa mmoja, wala rafiki,