...................wasiwasi wako tu........
Uaminifu...
Unajikuta tu umeshakopwa bila kujua umetoajeEeeh!! Kukopeshana hapo sitaki hata kuliongelea 🙌🙌
Oyaaa daah nimecheka!! 🤣🤣Kula ovyo
View attachment 3458394
Kweli hii mbaya sanaMarafiki wanakunywa mie sipendi pombe
Duuh....amewadinya marafiki zake wote?Kanijibu ety ni hivyo hivyo