Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli .

Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80% ) ambao siyo wanaccm.

Iko siku mambo haya yataleta machafuko .



Pia soma: Mapokezi ya Yanga: Mabango yenye picha ya Rais Samia yapuuzwa, yakanyagwa
 
Hakuna watu hapo.Ni viumbe tu wamezubaa kama wanaomba kuvushwa barabara au wanaangalia nyumba inaungua.
 
Msituletee uchawa wenu kwenye mchezo wetu pendwa. Wapumbavu kabisa nyie
 
99.9999999999999999999999999999999999999999% ya watanzania ni takataka
 
Wewe angalia midomo utagundua hawa wote ni PANYABUKU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…