PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bwana wa tz
C
Bwana wa CDM?
Mazalau yenu ccm yamefika mwisho , mnaenda pigwa pigo moja Takatifu mpaka mjute , huwezi mfungulia kesi uchwa wa ya uhani mwana wa Mungu lissu ukabaki salama asema Bwana.

Kwamba wewe ulale kwenye kitanda futi 6Γ—6 na mito juu ,alafu Mwana wa Mungu alale kwenye cimenti , utukufu ,ukuu mnaoutaka na ambao umewanogea hamtaupata tena , anasema Mungu wangu na mwaminifu sana tunza hii ,pumbavu .
 
Yote haya yanaweza kutokea lakini si mwaka huu 2025...

Marekebisho kidogo ya unabii wako ktk maeneo kadhaa:

1. Tundu Lissu hawezi kufika mwezi Juni ndo aachiwe. Wamemzuia kufanya mikutano kwa muda tu lakini tarehe 24/4/2025 wiki ijayo, atatoka gerezani na ataendelea na mikutano ya NO REFORMS NO ELECTION kwa sababu TUNDU LISSU hana kosa na hivyo hana kesi yoyote ya kujibu...!!

2. KUHUSU UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU. KUFANYIKA AU KUTOFANYIKA?
➑Kaka, HAKUNA UCHAGUZI MKUU MWAKA HUU 2025..!

➑Ili kuruhusu reforms kufanyika, tutasogeza mbele uchaguzi mkuu wa mwaka huu hadi mwakani Oktoba. Hili ndilo linaloenda kufanyika. Na kwa sbb CCM wanataka waendelee kwa muda kuwa madarakani, hilo wala sisi hatuna shida kabisa only if wako very serious kufanya mabadiliko kweli kweli ya mifumo yetu ya uchaguzi na utawala!

3. Hayo mengine, sina shaka nayo. Tunaomba yawe hivyo...
 
Kuna mgombea ataaga na uchaguzi kuhairishwa kwa siku miezi kadhaa
kuna kibaka na tapeli wa siasa korokoroni ataomba bullet proof vest yake awe analala nayo mahabusu baada ya Uchaguzi mkuu wa amani wa October mwaka huu πŸ’
 
Mtu pekee ninaye muamini kwenye utabiri ni MAGAMBA MATATU wengine naona wababaishaji tuu
 
Kumbe Uzi Toka kwa Member??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Naamini ni taarifa ya kweli, Member kaja kimkakati kufungua account JF, Kwa ajili ya kuleta habari njema toka jikoni!! Aksante sana new Member wa JAMII FORUM
 
Anzeni kumwondosha aliyejichagua kwa kura yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…