Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Huenda yeye mwenyewe binafsi pia ana kipato kizuri

Siku hizi Wanawake wengi wanajishughulisha
Wee bwana wewe wanawake hawapendi tumia hela zao huko ulaya kwenyewe kwenye 50/50 kidume pesa zake zinatumiwa vilivyo.
Wanawake wote wapo sawa kwenye mambo ya hela kama wanaume tulivyo sawa kwenye suala la micheps
 
Ni somo zuri nami naongezea,hii ni kwa pande zote,kuleta ndugu kuja kuishi kwenu bila kujadiliana na mmeo au mkeo,kubadili dini mmoja wenu bila kumshirikisha mwenzie,kuanza staili mpya ya sex ghafla utokapo safari
 
Umeandika sahihi kabisa;

Suala la ndugu, limekuwa likichangia migogoro Kwa baadhi ya familia. Hatukatai ndugu kutembeleana, lakini kabla hawajaja, vyema mkajadiliana na Mkeo/Mumeo.

Hilo la kubadiri Dini, ni jambo zito sana. Nafikiri kuna haja, mkafanya mazungumzo marefu kuhusu hatma ya watoto wenu kwenye suala la Imani, inapotokea mmoja wa wanandoa akaamua kubadirisha Dini.

Hilo la ku-practice style mpya mara baada ya kutoka safari, linaweza kuuza mgogoro Mkubwa zaidi unless yatolewe maelezo ya kutosha, ikiwemo na picha mnato za wapi alipojifunzia
 
Wee bwana wewe wanawake hawapendi tumia hela zao huko ulaya kwenyewe kwenye 50/50 kidume pesa zake zinatumiwa vilivyo.
Wanawake wote wapo sawa kwenye mambo ya hela kama wanaume tulivyo sawa kwenye suala la micheps
Hahaha..........kwamba Wanawake wote ni bahiri wa fedha zao hasa zinapotaka kutumiwa na Mumewe πŸ™Œ

Wapo wachache wanaoshea vipato vyao na Waume zao, japo wanaweza kuwa wachache Kwa idadi
 
Kwani hakuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya ndoa, Mnafanya mambo yanakuwa complicated sana.
 
Hahaha..........kwamba Wanawake wote ni bahiri wa fedha zao hasa zinapotaka kutumiwa na Mumewe πŸ™Œ

Wapo wachache wanaoshea vipato vyao na Waume zao, japo wanaweza kuwa wachache Kwa idadi
Hao wote wanao share kupata na mume wao they ugly🀣🀣🀣🀣🀣
 
Namba 4 umeharibu sana, umetoa siri nzito...usirudie
 
Mkuu hebu tukazie kidogo hapo kwenye "KUTOA MANII KIDOGO/CHACHE" mwanamke atajua kwamba umetoa manii kidogo?
 
Hao wote wanao share kupata na mume wao they ugly🀣🀣🀣🀣🀣
Kwahiyo ukioa PisiKali hawezi kushea kipato na Mume wake? πŸ˜…
 
Mkuu hebu tukazie kidogo hapo kwenye "KUTOA MANII KIDOGO/CHACHE" mwanamke atajua kwamba umetoa manii kidogo?
Kuna Wanawake Wana mtindo mumewe akirudi safari, wakishiriki tendo, ile round ya kwanza wanakagua wingi wa shahawa Mume alizomwaga, pia wanaangalia kama zimekuwa nyepesi sana.

Kwa kufanya hivyo, wanakuwa wanajua kwamba umepiga nje ama laa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…