leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 563
- 2,198
Sina madeni sina vikoba.Zingatia namba saba hilo limekuwa kero
Zingatia namba saba hilo limekuwa k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina madeni sina vikoba.Zingatia namba saba hilo limekuwa kero
Zingatia namba saba hilo limekuwa k
Asante babu.Hapo sawa Mjukuu.
Wishing you best of luck in your marriage 🙏🙏
Umeolewa na mwanaume mwenye mihela kweli kweliSina madeni sina vikoba.
Wee bwana wewe wanawake hawapendi tumia hela zao huko ulaya kwenyewe kwenye 50/50 kidume pesa zake zinatumiwa vilivyo.Huenda yeye mwenyewe binafsi pia ana kipato kizuri
Siku hizi Wanawake wengi wanajishughulisha
Ni somo zuri nami naongezea,hii ni kwa pande zote,kuleta ndugu kuja kuishi kwenu bila kujadiliana na mmeo au mkeo,kubadili dini mmoja wenu bila kumshirikisha mwenzie,kuanza staili mpya ya sex ghafla utokapo safariMiaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika.
Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza kuwa na cha kuwafunza Vijana wetu wanaotarajia kuingia Kwenye maisha ya Ndoa ama Wapenzi wapya ili kuwasaidia kupunguza migogoro isiyo ya lazima kwenye maisha yao ya mahusiano.
Kwa maoni yangu, yafuatayo hapa chini ni baadhi ya mambo madogo dogo ambayo ukifanya yanaweza kuzalisha migogoro isiyo ya lazima Kwa wapenzi ama Wanandoa watarajiwa;
Mosi, Kutokula Chakula kilichoandaliwa na Mke wako/Mpenzi wako.
Kuna baadhi ya Wanaume wenzetu, kupitia mizunguko waifanyayo Mchana kutwa, huwapelekea wakati mwingine kula huko huko, hivyo wanapokuwa wamerudi nyumbani kwao kushindwa kula chakula kilichoandaliwa na Mke/Mpenzi wake. Jambo hili halina afya kabisa kwenye maisha yenu ya Ndoa na mapenzi, hata kama ulilazimika kula huko Mtaani, hakikisha unaacha sehemu ya kula chakula alichokuandalia Mkeo/mpenzi wako.
Pili, Kunyoa mavuzi kabla ya kusafiri ama ukiwa huko huko safarini.
Kufanya hivyo kuna mjengea mwenzako taswira ya kuhisi kwamba uendapo unaenda kuchekupa ama ukiwa huko huko safarini ulichepuka ndiyo maana umerudi umeshanyolewa huko Ikulu ndogo.
Tatu, Kupunguza ghafla idadi ya round Kwa Mkeo ama Mpenzi wako mara baada ya kurudi kutoka safari, hii moja Kwa moja mpenzi wako atahisi ulipotoka umetumika sana, hivyo nguvu wamekumaliza.
Nne, Kutoa manii(shahawa) kidogo mara baada ya kurudi safari yako ya kikazi.
Unapokuwa haujashiriki ngono muda mrefu iwe Siku 3,4 ama Wiki ukikutana na Mkeo/mpenzi wako lazima utakojoa manii nzito nzito, iwapo utakuwa umetumika Siku kadhaa nyuma kabla ya kurudi nyumbani, Mkeo anaweza kujua hivyo kuzalisha migogoro isiyo ya lazima.
Ndiyo maana Wazee wenu badala ya kunywa soda tunaagiza Korosho ama Karanga mbichi ili kufukia mashimo mashimo ya njiani.
Tano, Kuchati na simu muda mwingi wa Usiku unapokuwa nyumbani na familia.
Hii hata kama Mkeo/Mpenzi wako hana D mbili lakini atahisi unamchepuko wako unaochati nao muda huo.
Sita, kwenda kuangalia Mpira kwenye Mabaa wakati nyumbani umefunga DStv/Azam Tv.
Hata kama hajawahi kukwambia, lakini jambo hili lazima linamkera mwenzako, na kuna Siku litawaletea migogoro isiyo ya lazima.
Saba, Kucheza Vikoba ama kukopa Mikopo mbalimbali pasipo kumshirikisha Mume wako.
wapo baadhi ya Wanandoa/Wapenzi wanakopa fedha/Vyombo pasipo kumshirikisha Mume wake, Mume anakuja kujua baada ya Mke kufatwa na kudaiwa yeye akiwepo ama wakati mwingine kutumia fedha aliyoachiwa ya Matumizi kulipa madeni kisha familia kushindwa kula Siku hiyo.
Haya ni baadhi ya mambo madogo dogo ambayo yanamkera mwenzi wako na wakati mwingine ndiyo chanzo cha migogoro mingi katika Ndoa na maisha mengi ya mahusiano.
Yapo mengine mengi ambayo mnahisi yatakuwa ndiyo chanzo cha hiyo migogoro katika mahusiano yetu.
Tunaweza kusaidiana kushea ili kuwasaidia Wanandoa wapya ama Wapenzi watarajiwa.
Umeandika sahihi kabisa;Ni somo zuri nami naongezea,hii ni kwa pande zote,kuleta ndugu kuja kuishi kwenu bila kujadiliana na mmeo au mkeo,kubadili dini mmoja wenu bila kumshirikisha mwenzie,kuanza staili mpya ya sex ghafla utokapo safari
Hahaha..........kwamba Wanawake wote ni bahiri wa fedha zao hasa zinapotaka kutumiwa na Mumewe 🙌Wee bwana wewe wanawake hawapendi tumia hela zao huko ulaya kwenyewe kwenye 50/50 kidume pesa zake zinatumiwa vilivyo.
Wanawake wote wapo sawa kwenye mambo ya hela kama wanaume tulivyo sawa kwenye suala la micheps
Hao wote wanao share kupata na mume wao they ugly🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha..........kwamba Wanawake wote ni bahiri wa fedha zao hasa zinapotaka kutumiwa na Mumewe 🙌
Wapo wachache wanaoshea vipato vyao na Waume zao, japo wanaweza kuwa wachache Kwa idadi
Namba 4 umeharibu sana, umetoa siri nzito...usirudieMiaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika.
Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza kuwa na cha kuwafunza Vijana wetu wanaotarajia kuingia Kwenye maisha ya Ndoa ama Wapenzi wapya ili kuwasaidia kupunguza migogoro isiyo ya lazima kwenye maisha yao ya mahusiano.
Kwa maoni yangu, yafuatayo hapa chini ni baadhi ya mambo madogo dogo ambayo ukifanya yanaweza kuzalisha migogoro isiyo ya lazima Kwa wapenzi ama Wanandoa watarajiwa;
Mosi, Kutokula Chakula kilichoandaliwa na Mke wako/Mpenzi wako.
Kuna baadhi ya Wanaume wenzetu, kupitia mizunguko waifanyayo Mchana kutwa, huwapelekea wakati mwingine kula huko huko, hivyo wanapokuwa wamerudi nyumbani kwao kushindwa kula chakula kilichoandaliwa na Mke/Mpenzi wake. Jambo hili halina afya kabisa kwenye maisha yenu ya Ndoa na mapenzi, hata kama ulilazimika kula huko Mtaani, hakikisha unaacha sehemu ya kula chakula alichokuandalia Mkeo/mpenzi wako.
Pili, Kunyoa mavuzi kabla ya kusafiri ama ukiwa huko huko safarini.
Kufanya hivyo kuna mjengea mwenzako taswira ya kuhisi kwamba uendapo unaenda kuchekupa ama ukiwa huko huko safarini ulichepuka ndiyo maana umerudi umeshanyolewa huko Ikulu ndogo.
Tatu, Kupunguza ghafla idadi ya round Kwa Mkeo ama Mpenzi wako mara baada ya kurudi kutoka safari, hii moja Kwa moja mpenzi wako atahisi ulipotoka umetumika sana, hivyo nguvu wamekumaliza.
Nne, Kutoa manii(shahawa) kidogo mara baada ya kurudi safari yako ya kikazi.
Unapokuwa haujashiriki ngono muda mrefu iwe Siku 3,4 ama Wiki ukikutana na Mkeo/mpenzi wako lazima utakojoa manii nzito nzito, iwapo utakuwa umetumika Siku kadhaa nyuma kabla ya kurudi nyumbani, Mkeo anaweza kujua hivyo kuzalisha migogoro isiyo ya lazima.
Ndiyo maana Wazee wenu badala ya kunywa soda tunaagiza Korosho ama Karanga mbichi ili kufukia mashimo mashimo ya njiani.
Tano, Kuchati na simu muda mwingi wa Usiku unapokuwa nyumbani na familia.
Hii hata kama Mkeo/Mpenzi wako hana D mbili lakini atahisi unamchepuko wako unaochati nao muda huo.
Sita, kwenda kuangalia Mpira kwenye Mabaa wakati nyumbani umefunga DStv/Azam Tv.
Hata kama hajawahi kukwambia, lakini jambo hili lazima linamkera mwenzako, na kuna Siku litawaletea migogoro isiyo ya lazima.
Saba, Kucheza Vikoba ama kukopa Mikopo mbalimbali pasipo kumshirikisha Mume wako.
wapo baadhi ya Wanandoa/Wapenzi wanakopa fedha/Vyombo pasipo kumshirikisha Mume wake, Mume anakuja kujua baada ya Mke kufatwa na kudaiwa yeye akiwepo ama wakati mwingine kutumia fedha aliyoachiwa ya Matumizi kulipa madeni kisha familia kushindwa kula Siku hiyo.
Haya ni baadhi ya mambo madogo dogo ambayo yanamkera mwenzi wako na wakati mwingine ndiyo chanzo cha migogoro mingi katika Ndoa na maisha mengi ya mahusiano.
Yapo mengine mengi ambayo mnahisi yatakuwa ndiyo chanzo cha hiyo migogoro katika mahusiano yetu.
Tunaweza kusaidiana kushea ili kuwasaidia Wanandoa wapya ama Wapenzi watarajiwa.
Mkuu tugawane, wewe fanya hayo mambo mengine utabarikiwa sanaKwani hakuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya ndoa, Mnafanya mambo yanakuwa complicated sana.
Hiyo ni siri ya jeshi.Natamani niende ku-edit bahati mbaya wananzengo wamesha-screenshot 😜
Kuna Wanawake Wana mtindo mumewe akirudi safari, wakishiriki tendo, ile round ya kwanza wanakagua wingi wa shahawa Mume alizomwaga, pia wanaangalia kama zimekuwa nyepesi sana.Mkuu hebu tukazie kidogo hapo kwenye "KUTOA MANII KIDOGO/CHACHE" mwanamke atajua kwamba umetoa manii kidogo?