Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Kwahiyo ukioa PisiKali hawezi kushea kipato na Mume wake? πŸ˜…
Got that right! Sasa yeye mzuri wee usipotumia hela yako wapo wanaume watatu.ia hela zao wamegegede.
Ni pisi kali mjinga tuu ndio anakubali kushare hela yake na mwanaume.
Ila kama wee mwanamke unanijua sura mbaya na umeolewa kwa huruma aisee hela yako moe mumeo tuu🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wacha kuwanyanyapaa mabinti wenye sura za Baba zao 😜
 
Wacha kuwanyanyapaa mabinti wenye sura za Baba zao 😜
Sio kuwanyanyapaa mbona ndio uhalisia wa mambo. Ata sie wanaume ambayo hatuna hela mkeo akigegedwa na wanaume wenye hela usilete ukali usione na sababu...tulibana dawa ikuingie vizuri
 
Kwani hakuna mambo mengine ya kufanya zaidi ya ndoa, Mnafanya mambo yanakuwa complicated sana.
Hiyo migogoro haipo Kwa Wanandoa tu, hata Kwa wapenzi wanaokaa pamoja bila Ndoa.

Hatuzungumzii wale wa hit and run
 
Sio kuwanyanyapaa mbona ndio uhalisia wa mambo. Ata sie wanaume ambayo hatuna hela mkeo akigegedwa na wanaume wenye hela usilete ukali usione na sababu...tulibana dawa ikuingie vizuri
Ukioa Mke bikra, mara chache anaweza kukusaliti hata kama akitongozwa na Elon musk
 
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana...

Unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni..unarudi unakuta ng'ombe wamekunywa maji yote.. Unafata mengne kisimani kurudi unakuta mbuzi amekula sabuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mhm labda bikra ukaoe huko kandahar. Bongo wote by the tym of marriage ni breki mbupuz
Tafuta mmoja umsomeshe uje ufaidi matunda akifika miaka 18.

Hukuona Mke wa Sadio Mane
 
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana...

Unaenda kuoga unakumbuka umesahau sabuni..unarudi unakuta ng'ombe wamekunywa maji yote.. Unafata mengne kisimani kurudi unakuta mbuzi amekula sabuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulitaka kumaanisha nini Mkuu kuandika hivyo?
 
Tafuta mmoja umsomeshe uje ufaidi matunda akifika miaka 18.

Hukuona Mke wa Sadio Mane
Mie mwenyewe tayari damaged goods Wacha nienedelee na damaged goods wenzangu.
Mambo yakiwa mchafu alafu unataka visafi mie huo unafiki siwezi. Mie mtoto wa shetani nitoa na kugegeda watoto wa shetani basi. Never be a flip flopper
 
Kuoa ni utumwa na ni jambo baya sana, sasa mtu ana hiari kufanya jambo baya sasa si anakuwa Muumba tu, kuoa ni uamuzi wa makosa makubwa
Hiyo kutokuoa umeitoa wapi wakati Imani zote zinahamasisha mtu Mume na mtu Mke Kuoana ili kujenga familia moja?
 
Mie mwenyewe tayari damaged goods Wacha nienedelee na damaged goods wenzangu.
Mambo yakiwa mchafu alafu unataka visafi mie huo unafiki siwezi. Mie mtoto wa shetani nitoa na kugegeda watoto wa shetani basi. Never be a flip flopper
Hahaha...............Sadio Mane amejiopolea kitu sealed kabisa kile πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…