Got that right! Sasa yeye mzuri wee usipotumia hela yako wapo wanaume watatu.ia hela zao wamegegede.Kwahiyo ukioa PisiKali hawezi kushea kipato na Mume wake? 😅
Ni pisi kali mjinga tuu ndio anakubali kushare hela yake na mwanaume.
Ila kama wee mwanamke unanijua sura mbaya na umeolewa kwa huruma aisee hela yako moe mumeo tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣