Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
Tatizo hapa linaanza kwa Mke mwenyewe, huo ushauri anauwasilishaje; ukiona mwanamke akitoa ushauri asikilizwi ujue basi Kuna tamaduni ya kutoa ushauri na mambo yakienda kushoto zinakuja lawama pia, utasikia "nilisema", "nilijua" na kadhalika na kadhalikaKutokusikiliza, hii kitu ni common sana kwa wanaume wengi sijui kwanini.
Mke akikuambia au kushauri jambo walaaaa hauna muda kabisa, uko tayari kumsikiliza na kufanyia kazi ushauri wa stranger ila sio mke.
Grahams uko wapi nije, sina salio la kukupigia nakufata.
Wanawake walio wengi either amesoma au hajasoma upeo wao ni zero,Mwanaume aliye kamilika hawezi kusikiliza ushauri wa Mwanamke akaufanyia kazi.Kutokusikiliza, hii kitu ni common sana kwa wanaume wengi sijui kwanini.
Mke akikuambia au kushauri jambo walaaaa hauna muda kabisa, uko tayari kumsikiliza na kufanyia kazi ushauri wa stranger ila sio mke.
Grahams uko wapi nije, sina salio la kukupigia nakufata.
Kumbe na wewe upo kwenye Ndoa?Babuu hii mada inanihusu hadi mimi..
,πππππ
Nakataa kuhusu hilo, hivi hujawahi kudate Mwanamke smart?Wanawake walio wengi either amesoma au hajasoma upeo wao ni zero,Mwanaume aliye kamilika hawezi kusikiliza ushauri wa Mwanamke akaufanyia kazi.
Binafsi yangu siwezi,labda ule ushauri wa leo nikupikie chakula gani.
Kiasili Wanawake hawawezi kufanya maamuzi magumu, isipokuwa Wanaume.Tatizo hapa linaanza kwa Mke mwenyewe, huo ushauri anauwasilishaje; ukiona mwanamke akitoa ushauri asikilizwi ujue basi Kuna tamaduni ya kutoa ushauri na mambo yakienda kushoto zinakuja lawama pia, utasikia "nilisema", "nilijua" na kadhalika na kadhalika
Kwa bahati mbaya wanawake wengi sio watendaji lakini waongeaji
Sahihi kabisa, hiyo ya kuvaa chupi mpya wanafanya zaidi Wanawake hasa wanapokuwa wanachepuka wakiwa makazini.Naunga mkono hasa hapo kwenye kunyoa vuzi na kuvaa chupi mpya
Sasa mtu unamfungulia Duka linakufaKiasili Wanawake hawawezi kufanya maamuzi magumu, isipokuwa Wanaume.
Changamoto utekeleze jambo ambalo Mkeo alikushauri, ila ukaupotezea Ushauri wake, kisha mambo yaharibike.
Hapo hauwezi kukwepa lawama zake.
Ila wito wangu, tusiache kuwashirikisha wake zetu Mipango na mengi tuyafanyayo.
Hata kama unaweza kumwona ni useless anaweza kukufaaa.
Waswahili tuna msemo wetu kwamba hata saa mbovu, Kuna wakati husema sahihi
Pole sana Mkuu, Mke wa hivyo ni changamoto.Sasa mtu unamfungulia Duka linakufa
Unasema umpe mtaji wa genge linakufa
Unasema umfungulie kamradi ka chipsi akusaidie kusukuma gurudumu la maisha nayo unakuta
Kuna ushauri hapa ndugu yangu?
Kuna siku mzee mwenzio atatwangwa gongo la kichwa na akina oyaπ€£Unataka kusemaje Mjukuu π
Aya yatasaiidiaHayo mengi ni ya Wanaume Kwa Wake zao, tukipata yale ya upande wa pili itafaa zaidi.
Ndoa tayari ama ndiyo tujiandae kula Ubwabwa karibuni?
Badi sijaingia chamani babu nitakapoingia nitakua naweka mambo waziWewe haukopi bila ruhusa ya mwenzako?
Tunajihami na watu wa OYA π€