Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

onhoo kwasisi wanauke wa saiv kuwalinda sijui kwakwel 😌
Hahaha...........kama ni hivyo basi kakopeni Songesha kuliko hao wabeba Virungu ili kutulinda 😜
 
hahahaha tukope nyie mkiwa wap😌
Kuna wakati tunakwama, unakuta mmebaki na akiba kwenye ile akaunti yenu ya Fixed deposit pekee

Kwahiyo solution kukopa
 
Na mwanamke hata useme unamkomoa kwa kumwachia buku, hatakama ni mama wa nyumbani hua hatukosi akiba,, yaani kwenye io io buku tutabana hata 200 😆
 
Napenda Mwanamke anayejua kuweka akiba

Siku umeishiwa, unakuta Mke anatoa akiba yake kwenye Kibubu shilingi 50k 🙌
 
na ndo nature ya kila mwanamke,labda aamue tu kukunyima, ndomana hata mkikosana akiamua kuondoka hakosi pa kwenda😃
 
Wacha tuendelee kuwapenda hadi mwisho wa maisha yetu

Aliwahi kuimba MwanaFA, "...anayewaponda apate laana.." Jina la wimbo "Mimi na Mabinti damu damu"
 
yes yes no mara waaaaa nyie tupendeni tu babuuuuu,,tumeumbwa kwaajili yenu😌
 
Sio lazma hata litoke kwa mwanamke, linaweza toka kwa marafiki wa kiume, washkaji ila inakera..... Afu ukute unashauri jambo la maana ila linapigwa kikono 😹😹😹

Usema kweli inakera balaaa
Jambo la kushauriwa na mke lina element nyingi za interest zake binafsi.
 
Back
Top Bottom