Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

Sisi ni nchi huru
Kuwa nchi huru hakumaanishi;
  1. Usake wakosoaji wa serikali,
  2. Ukamate raia kiholela,
  3. Dola ifanye vurugu za kisiasa,
  4. Ushambulie na unyanyase wanachama wa upinzani,
  5. Unyanyase watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
  6. Unyanyase watu wa asili,
  7. Unyanyase waandishi wa habari,
  8. Unyanyase mashirika ya kiraia,
  9. Usifanye uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
  10. Usiheshimu utawala wa sheria,
  11. Usiheshimu uhuru wa kujieleza,
  12. Usiheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
  13. Usiheshimu vyama na mikutano,
  14. Usiheshimu uhuru wa mahakama,
  15. Usiwianishe sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
  16. Usiwianishe sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
  17. Usiheshimu haki za vyama vya siasa,
  18. Usifanye chaguzi huru na za haki;
 
Kuwa nchi huru hakumaanishi;
  1. Usake wakosoaji wa serikali,
  2. Ukamate raia kiholela,
  3. Dola ifanye vurugu za kisiasa,
  4. Ushambulie na unyanyase wanachama wa upinzani,
  5. Unyanyase watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
  6. Unyanyase watu wa asili,
  7. Unyanyase waandishi wa habari,
  8. Unyanyase mashirika ya kiraia,
  9. Usifanye uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
  10. Usiheshimu utawala wa sheria,
  11. Usiheshimu uhuru wa kujieleza,
  12. Usiheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
  13. Usiheshimu vyama na mikutano,
  14. Usiheshimu uhuru wa mahakama,
  15. Usiwianishe sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
  16. Usiwianishe sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
  17. Usiheshimu haki za vyama vya siasa,
  18. Usifanye chaguzi huru na za haki;
Niko upande wako, achana na hiyo chombeza time yangu ya awali, big up for you unforgetable contribution
 
acha kapelekeshwe, serikali gani inateka, kupoteza na kuuwa raia wake?
kibaya zaid misaada yenyew inatokana na walichochuma kwetu.

hiv ni serikal au viongoz wanaosimamia serikali?

Na suara la kuteka na kuuwa watu hapo wanapgania ugari mkuu, aliepo mezan hataki kutoka anaulinda ugari ale peke yake kivyovyote hata kwa dam kwa siri japo sio demokrasia na anaye utaka ugari nae ananjaa atatafta mbinu zozote ale ugari, kibaya zaid aliepo mezan ni mzoefu na kashikilia had uma na kijiko na visu
 

Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
  1. Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
  2. Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
  3. Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
  4. Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
  5. Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
  6. Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
  7. Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
  8. Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
  9. Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
  10. Kuheshimu utawala wa sheria,
  11. Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
  12. Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
  13. Kuheshimu vyama na mikutano, na
  14. Kuheshimu uhuru wa mahakama,
  15. Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
  16. Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
  17. Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
  18. Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

View attachment 3327849
Ni wenye vichwa nazi (nje madhubuti ila ndani ni maji) tu ndio watabweteks na kauli za bunge la Ulaya. Chadema imemscalcute na indeed has lost ground kwenye siasa. Kujidanganya na kauli za Ulaya litakuwa kosa lingine. Referring to Zanzibar from 1995 wazungu waliimba na nyimbo zote zikaisha....CCM is still there and of course, will be there. I repeat: tatizo la upinzani wa bara ni political immaturity na kama hawajajitambua kwenye hili mtaendelea kukesha kufuatilia vikao vya bunge la Ulaya kwenye runinga. ULAYA ULAYA. Ii there any one most favoured by European community than one in Ukraine? What has he achieved to date? No Election No reform ndio sera ingewasaidia CHADEMA and not otherwise. CCM ipo,SAMIA yupo na mapenzi ya wa Tanzania kwa CCM ni Yale Yale.
 
Hapana. Mimi ninapendekezo mbadala wa hiyo "kunyima misaada".

Kazi ya kuwatia adabu hawa wakoloni wetu hapa ni yetu wenyewe, siyo ya hao mabeberu. Mimi naomba watuwezeshe sisi waTanzania, tujinasue na hili zimwi linaloitwa CCM.
Wakitusaidia kudhibiti uchaguzi usiharibiwe na CCM; huo ni msaada mkubwa sana kwetu.

Wakituwezesha kuwadhibiti viongozi wa utekaji na maovu mengine (genge la askari wa Samia), huo ni msaada mkubwa sana kwetu

Wakitusaidia kubana Mahakama isitumike visivyo na serikali, huo ni msaada mkubwa sana kwetu.

Wakitusaidia tuwazuie polisi kufanya uharamia kwa raia wasiokuwa na hatia, huo ni msaada mkubwa kwetu kuhakikisha tunajikomboa wenyewe.

Hatutaki wao washiriki kufanya kazi ambayo ni yetu wenyewe.
Naunga mkono hoja yako
 
Skuizi tumeunganishwa na waalabu so waulaya hawana chakutueleza sisi ni soveleiniti steti 🤣🤣
 
Mwajabu Omary: mnadhalilisha majina haya na watu wenye majina ya aina hii, dini yao na sehemu wanapopatikana
Sorry nilichokimaanisha ni kwamba hayo ndio majibu niliyoyatarajia kuyasikia kutoka upande ule wa ving'ang'anizi
 
Back
Top Bottom