Katika orodha yote hiyo, wewe hukuona hata jambo moja linalofaa?Takataka
Wewe utakuwa ni binaadam wa namna gani?
Hebu orodhesha mambo unayoona wewe ni muhimu.
Anyway, najuwa huwezi, kwa sababu wewe mwenyewe ni "takataka".
Katika orodha yote hiyo, wewe hukuona hata jambo moja linalofaa?Takataka
Hapana. Mimi ninapendekezo mbadala wa hiyo "kunyima misaada".Watunyime misaada tu ili serikali ikose hela za kuiba.
Nafikiri ******* ni nyie ambao mnafosi kubaki madarakani wakati maendeleo na usimamizi wa mambo madogo tu umewashinda.******* tu hao Bunge la Ulaya, wanashindwa kuwasaidia ndugu zao huko Ukraine kila siku wanauwawa na Mrusi wanataka kutujambisha kwa misaada yao mbuzi,nyambaf
Lini uhuru utakoma?Sisi ni nchi huru
Watawala wanawaza matumbo, starehe na ufahari.Mpaka Leo tunaambiwa nn tufanye kwasababu
HATUJITAMBUI😒
Uhuru unaanzia pale unapoweza kusimama kwa miguu miwili. Sasa nyie bado mnatambaa na kujikongoja tu. Hamna hata uwezo wa kujisimamia kifedha mnategemea misaada kufanya uchaguzi huo uhuru uko wapi!?Sisi ni nchi huru
Ni upumbavu kuendelea kuamini watawalaWatawala wanawaza matumbo, starehe na ufahari.
Hivyo hayo masuala yametajwa hapo watakwambia ni kutetea ushoga!
Uhuru makalio ndio huo sheikhNchi huru inayokinga bakuri kina corner kama Matonya.. hiyo ni nchi huru ya wapi?
Huyu ata umloweke kwenye jiki hasafishiki labda tu kumsafisha Kiroho tu kupitia damu ya Yesu lakni kimwili Sioni kabsa na usiwe unajichoshaJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Kuingiziwa Pesa za miradi ya EU mnapenda!Wasituingilie
Kabisa! Hizo 4Rs walikuja nazo wenyewe then wakibanwa kuzitekeleza hawaweziNi upumbavu kuendelea kuamini watawala
Namaanisha ni UPUMBAVU SANA.
Mbona imetajwa katika item no. 5 hapo juu?
Naona unasumbuliwa na ugonjwa wa akili uitwao LGBTQ-oriented selective amnesia!
Read again:
View attachment 3327863
NENDA KAISHI HUKO
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
View attachment 3327849
Taka2 ni wewe uliyechagua kulamba makalio ya watawala wajinga!Wekeni Yale ya kiingereza mnakwepa nn? Chadema ni taka taka
acha kapelekeshwe, serikali gani inateka, kupoteza na kuuwa raia wake?Ona sasa faida ya misaada,
hii nchi inataka kuanza kupelekeshwa.
Magu alikua jembe sana
Nilipost hayo maneno kutest zali na nimepata majibu. Mimi sipo upande wao, na ningelikua upande wao kwa misumali walioitoa wazungu ni bora ningechutama.Kuingiziwa Pesa za miradi ya EU mnapenda!
Kuingiliwa hamtaki!