Mlikuwa mnafanya uhalifu kwa wapinzani kwakuwa mnajua hawatahoji?Wasituingilie
Huru ya kuteka na kupoteza? Hata mwanao wa kumzaa, ukionekana unamtendea visivyo hadi unaweza kufungwa!Sisi ni nchi huru
Wanakuingulia kwakua unapenda vya bureWasituingilie
TakatakaView attachment 3327735
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
Tangu lini OMBA OMBA akawa huruSisi ni nchi huru
Wewe upo huru ndio maana unakujua pande,mabwepande na kwinginekoSisi ni nchi huru
Mtajua hamjui,mwisho uliokuwa ukiwafanyia upambe utaenda kuwa hurumia ICCTakataka
View attachment 3327735
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
Sisi ni nchi huru
"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."Wasituingilie
Kwa kuwa ni Nchi huru ndiyo uwe huru kuua wananchi?.mzee kibao,mdude,beni saanane,mbise,n.k wameuawa na chama tawalaSisi ni nchi huru
Bunge la Ulaya limekuwa kama kikao cha Harusi ya Ali & Mwajuma huko Vingunguti... limekosa weledi
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
View attachment 3327849
Sh.
Yan sjui nikutukane ... Mbona hoja ya kuacha kuwasakama na kuwakanfamiza wazee wa LGBTQ haipo kwenye hoja zako. Si upotoshaji huo ?
Acha kuomba msaada.Wasituingilie