Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

Hapana. Usilitazame suala hili kwa kutumia miwani yenye ukungu wa maarifa haba.

Bunge la Ulaya limetimiza jukumu lake la kimataifa kuongelea crimes against humanity zinazotokea Tanzania.

Hizi ni jinai hushughulikiwa na Mahakama za Kimataifa.

Ukimalizia degree yako ya sheria pale OUT utakuja kukubaliana na hoja zao. Elekeza nguvu zako OUT kwa sasa.

Miaka 10+ ya kuisotea degree hiyo ni mingi sana. Jiongeze.

Vinginevyo nitawaomba OUT wafute usajili wako.
Mimi ninasoma OUT?
 
******* tu hao Bunge la Ulaya, wanashindwa kuwasaidia ndugu zao huko Ukraine kila siku wanauwawa na Mrusi wanataka kutujambisha kwa misaada yao mbuzi,nyambaf
Laiti ungeacha hiyo kitu unayotumia halafu ukatumia logic badala ya mihemko labda ungeweza kueleza kitu ukaeleweka.
 
Kwa upande wangu naona kumbe wa ulaya wanaijua zaidi tanzania kuliko watanzania wenyewe. Manake mpaka sasa hatujui ni nani anatengeneza mashambulio,mauaji na unyanyasaji dhidi ya wakosoaji wa serikali. Mara zote serikali imekuwa ikikanusha kuwa haihusiki na mashambulizi hayo. Kumbe wazungu kupitia BUNGE LA ULAYA wanajua kuwa ule uonevu wanaofanyiwa wakosoaji wa serikali unafanywa na serikali.
tuamke
 
Hapana. Usilitazame suala hili kwa kutumia miwani yenye ukungu wa maarifa haba.

Bunge la Ulaya limetimiza jukumu lake la kimataifa kuongelea crimes against humanity zinazotokea Tanzania.

Hizi ni jinai hushughulikiwa na Mahakama za Kimataifa.

Ukimalizia degree yako ya sheria pale OUT utakuja kukubaliana na hoja zao. Elekeza nguvu zako OUT kwa sasa.

Miaka 10+ ya kuisotea degree hiyo ni mingi sana. Jiongeze.

Vinginevyo nitawaomba OUT wafute usajili wako.
Kwa heshima niliyo nayo kwako siamini kama unamasmisha, umeidharau sana degree ya Sheria ya OUT.
Wanahitaji kuombwa msamaha
 
Ukilala ukiamka JPM kasingiziwa mambo mengi.
Linajadiliwa bunge la Ulaya hapa siyoJPM, kama siyo hawara yake utakuwa una matatizo ya afya ya akili
Inasikitisha sana mkuu
 
CCM watakuwa wamenuna sana......ila ndiyo hivyo Lissu hatawaacha salama
1746706642825.png

Mama ataisoma namba tu, ni suala la muda
 
Wazungu ni binadamu, sio miungu wala mashatani hivyo wanasifa zote mbili (uungu ndani yao na ushetani =ubinadamu).
Kwenye hoja zao kuna ukweli mwingi japo mengine sio tamaduni zetu.
Kikubwa tuu tujiulize hivi tz ndo nchi ya kwanza kujadiliwa? je, ni wapinzani walioenda kuishtaki serikali dhidi ya tuhuma hizo? Je, kuna tuhuma za uongo hasa kisiasa?.
Kama tutasema kila nchi ina uhuru wa kufanya lolote bila kuingiliwa je tz kiliwapeleka nini huko Dafur, Comoro na Kongo?. Je, tuna kwanin wati humtuhumu P. Kagame na musrvdni jinsi wanavyo zitawala nchi zao?
Kwa ufupi nkwamba tumeyataka wenyewe.
 
Back
Top Bottom