Ww huru kuongea na kuandika hujui et bakuriNchi huru inayokinga bakuri kina corner kama Matonya.. hiyo ni nchi huru ya wapi?
Nchi yenye uhuru wa kuua raia wake na kusema kifo ni kifo sio ???Sisi ni nchi huru
Haki ni misingi wa serikali yoyote duniani haijalishi ni nchi GaniBunge la Ulaya limekuwa kama kikao cha Harusi ya Ali & Mwajuma huko Vingunguti... limekosa weledi
Mkuu tukubaliane tuu na ukweli mbona sisi huwa tunaona Msevsnu na Kagame wanawanyanyasa wapinzani wao?.kwetu sisi kuna ulazima wa haya yanayoendelea?.******* tu hao Bunge la Ulaya, wanashindwa kuwasaidia ndugu zao huko Ukraine kila siku wanauwawa na Mrusi wanataka kutujambisha kwa misaada yao mbuzi,nyambaf
Mkuu swala siyo raia kufurahia au kuchukia,swala ni wao kuingilia mambo yetu ya ndani.Mkuu tukubaliane tuu na ukweli mbona sisi huwa tunaona Msevsnu na Kagame wanawanyanyasa wapinzani wao?.kwetu sisi kuna ulazima wa haya yanayoendelea?.
Je unafikili raia wangap wameufrahia au kuuchukia ujumbe huo wa EU?.
Kama raia wengi wameufurahia ujue kuna tatizo.
Nkweli kabsaa lakin sisi ndo tumesahau kuvaa boxa na chupi kwahiyo kosa sio kwa hao wanao tuchungulia nyeti zetu.Mkuu swala siyo raia kufurahia au kuchukia,swala ni wao kuingilia mambo yetu ya ndani.
Zilonga mbali, zitendwa Mbali sjjui kama nimepatia huu msemo
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
View attachment 3327849
😀😀😀Nkweli kabsaa lakin sisi ndo tumesahau kuvaa boxa na chupi kwahiyo kosa sio kwa hao wanao tuchungulia nyeti zetu.
Vip JW hawakuwaingilia/kuwachungulia Dafur, Comoro na Congo walipokaa uchi(walipo kosa heshima kwa raia na nchi yao?).
Hopeless and empty heads ever !
Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo:
- Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali,
- Kukomesha ukamatwaji holela wa raia,
- Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola,
- Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watetezi wa haki za binadamu, wakiwemo watetezi wa haki za kijinsia.
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya watu wa asili,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya waandishi wa habari,
- Kukomesha unyanyasaji dhidi ya mashirika ya kiraia,
- Kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa,
- Kuheshimu utawala wa sheria,
- Kuheshimu uhuru wa kujieleza,
- Kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari,
- Kuheshimu vyama na mikutano, na
- Kuheshimu uhuru wa mahakama,
- Kuwianisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na sheria za kimataifa za haki za binadamu,
- Kuwianisha sheria za vyombo vya habari za tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu
- Kuheshimu haki za vyama vya siasa, na
- Kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
View attachment 3327849
Ndani na nje ya nchi ccm imekataliwa. Ina force kingi tuUsiingiliwee kwenye utekwaji??
Unadhani mama yako akiwa rais anafanya kila anachotaka kisa ana mamlaka???
Mkuu wazungu unawatukana hapa Jfs wala hawapo. Wafate huko huko EUHopeless and empty heads ever !
Ndio haswa lengo lao. Yote mengine ni geresha tu.Hapo kwenye haki za kijinsia isije ikawa wanamaanisha mambo ya upinde. Washindwe kabisa. Mambo yao ya kuhalalisha ushoga na usagaji yaishie huko huko kwao.
Wanataka uhuru wa kuiba na kutapanya mali za umma tuNchi huru inayokinga bakuri kina corner kama Matonya.. hiyo ni nchi huru ya wapi?
Wekeni Yale ya kiingereza mnakwepa nn? Chadema ni taka taka
Kwamba Tz inaweza kushindana na EU?Safari hii msaada wa fedha kwenye bajeti yetu toka Jumuiya ya Ulaya tunaweza kuzikosa kutokana na matamko yao.
Kwani wewe unaingiliwa huko?Wasituingilie