Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #181
Sifa zote hizo sina💪💪
Hongera Sana
Sifa zote hizo sina💪💪
Ukiona mtu ameanza kujijali yeye kuliko watoto, wazazi, ndugu au marafiki ujue huyo mtu ameanza kuwa na akiliKila mtu aangalie yale anayoweza, kuyastahimili na ikifikia hatua mbaya ndio mambo yavunjike.
Tatizo siku hizi single parenthood ni fashion na watu wanajijali wao kuliko watoto wao ndio maana mambo yanaenda mrama. Kwa sababu kama kila mtu akijali basi huo upumbavu hautotokea kiasi cha kuvunja ndoa
Asanteeeee 🙏Bado hujakua kijana.
A woman is not an object,Ana hisia,akili,ana react kulingana na situation.
Kamuulize baba yako atakuambia ukweli.