Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Wanaume dhaifu huwa na misemo kama yako.
Wewe Dunia unataka niijue ili iweje
Sisi wanaume huwa hatubishani ila tunamalizana kiume.

Okay Mimi dhaifu Kweli nikiona kum@ mana Ile kitu imeumbwa Kwa ulaini wake.

Mabaharia tunasema mkataa kum@ basi huyu ni kum@ la mama Yake.
 
Ni hekima. Huwezi kuukata mti unaokupa kimvuli kwa sababu haukuzalii matunda..

Kutenda vitu kwa kuangalia mizani ya ubaya na uzuri wake, uzito na wepesi wake ndio hekima. Sio kukurupuka wakati hata wewe kuna madhaifu unavumiliwa
NDio ujinga na kukata tamaa anakosema Robert😅😅
 
Andiko lakibabe saana hili


Upo sahihi 2000%
 
Na Siku zote wanawake wanaposema kuwa wewe ni MME Bora , sijui baba Bora wa watoto inamaanisha anauwezo wakukutawala..mwanaume halisi lazima mwanamke akuite mbwa..!!wanawake wakishindwa kukutawala unakuwa tishio kwao..hacha waje tuvaaneView attachment 3282173
Utasikia...wanaume wote ni mbwa😂
 
Alikuwa anagoma kuitoa mkuu, katoa kwa mashinikizo mkuu.
Kuhusu hii statement yako hapo juu na mwanamke kamili na halisi yukoje?

Mwanamke Kamili hakubali kuonewa, lazima awe na uwezo wa kujitegemea.
Ngoja niandike Uzi humu
 
Kila mtu aangalie yale anayoweza, kuyastahimili na ikifikia hatua mbaya ndio mambo yavunjike.

Tatizo siku hizi single parenthood ni fashion na watu wanajijali wao kuliko watoto wao ndio maana mambo yanaenda mrama. Kwa sababu kama kila mtu akijali basi huo upumbavu hautotokea kiasi cha kuvunja ndoa
sisi tuliopitia maisha ya wazazi kutengana ndio tunajua thamani ya mtu kuwa na kwao pa kujivunia Tena palipokamilika!ukimweleza mtu magumu ya wanaolelewa na ndugu au mzazi mmoja hawezi kuelewa atakuona ni kama vile unafanya compromise na uzembe au makosa ya mwenzi!!

Mitara ndio suluhisho la mwanamke mkaidi na mwenye kiburi!!unakua unaenda pale kama balozi wa nyumba kumi kuona Hali ipoje na kusepa!father fear factor inabaki pale pale!japo make atakua na uhuru zaidi wa kuchepuka na kujiamulia!
 
Habari Wakuu!

Bila kupoteza wakati.

1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono.
Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu.

2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili huyo mwanamke abaki na wewe.
Hiyo ni dalili kuu nyingine inayoonyesha kuwa wewe huna lolote la Maana, mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa.
Mwanamke ndiye anatakiwa atumie nguvu kubwa kuwa na kubaki na wewe na sio wewe umeng'ang'ania.

3. Unaogopa Kumpoteza au unaogopa kuachana naye.
Ukitaka ujue kuwa wewe ni mwanaume wa aina gani, Moja ya vipimo katika Mzani wa kisaikolojia ni pamoja na kuogopa kumpoteza au kuachana na mwanamke.

Mwanaume dhaifu na asiye na lolote huogopa kuachana na mwanamke.

Mwanaume kamili na Halisi haogopi kuachana na mwanamke na wanawake hujua waziwazi wanapokuwa mbele ya wanaume waaina hiyo.

Mwanaume dhaifu hutishiwa na mwanamke kuachana nao huteseka Sana lakini kosa Hilo mwanamke hawezi kujaribu kulifanya kwa kumtishia mwanaume Kamili kuwa atamuacha hata kwa utani kwa Sababu wanawake hujua maamuzi ya wanaume Halisi yakoje.

4. Mwanamke kukukosea heshima, kukufokea na mwanaume anakuwa Hana chakufanya.
Hiyo ni dalili kuwa wewe ni weak man,usiye na mbele Wala nyuma, uliyekata tamaa.

Mwanamke anajiamulia mambo, anondoka bila kibali Wala ruhusa yako, anarudi atakavyo, na wewe huna chakufanya. Wewe ni mwanaume dhaifu.

5. Anakuwekea Sheria na standards zake ALAFU wewe unafuata.
Wanaume dhaifu na waliokata tamaa na wasio na MBELE Wala Nyuma ndio huwekewa Sheria na standards na Wanawake na wao hufuata.

Wanaume dhaifu ni wafuasi wa Wanawake. Hufuata matakwa ya Wanawake.
Ni wanaume waliojidharau na waliodharaulika.

Mfano, mwanamke anakuambia bila pesa au bila kumpa kitu Fulani huwezi kuwa naye au hakupi papuchi nawe kama mbuzi unafuata Sheria na standards zake. Ingawaje kisaikolojia wanaume dhaifu ni emotional entity, na hawawezi kujidhibiti hisia Zao za ngono.

6. Unashindwa kufanya maamuzi Mpaka umuulize.
Yaani yeye ndiye anakuwa kama mwanaume wewe unakuwa Demu. Kila kitu Mpaka umuulize sasa Nani mwanaume hapo. Mwanaume Kamili hayupo hivyo.

7. Muda wote unamfikiria Yeye.
Kwanza huo ni utoto na ulimbukeni. Unashindwa kufanya mambo ya msingi Muda wote unamuwaza yeye.

8. Unapigana na watu na kuzuia watu wasiongee naye huko mabarabarani.
Unaogopa kuachwa.

Unawivu wa kijinga. Unagombana na watu Kisa mwanamke. Unamchunga mtu uliyemuambia akikucheat ataondoka hivi uko Sawa kichwani?
Mwanaume Kamili hayupo hivyo.

9. Anakusaliti na umemfumania na bado unamsamehe mnaendelea kuishi wote.
Wewe ni mwanaume dhaifu, uliyeshindwa kila kitu, usiyejiamini.

Mwanaume Kamili na anayejiamini hata siku Moja hawezi kuishi na mwanamke msaliti hata kwa namna yoyote hata angeambiwa asiende Mbinguni yupo tayari kwa Hilo.

Vijana, mapenzi huwaumiza zaidi wanaume dhaifu kwa Sababu kiasili wanaume dhaifu hawanaga Akili, huendeshwa na Mihemko, na hisia, hushindwa kudhibiti hisia na Mihemko Yao. Hawajui wao ni wanaume hivyo ni kusema hawajitambui.

Na mwanaume asiyejitambua ni Weakman na finished Man.

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Sifa zote hizo sina💪💪
 
Back
Top Bottom