Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Mtibeli

Mwanamke yupo loyal 100% kwa kiumbe mmoja tu ambaye ni mtoto wake.

Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa mke malaya kwako Ila akawa ni mama bora kwa watoto wako. The same way, mwanaume anaweza asiwe mume bora yani mlevi, mzinzi na hajali hisia za mwanamke Ila kwenye kuangalia watoto wake akawa perfect.

Mwanamke Malaya hawezi kuwa Bora kwa watoto wake. Tunazungumzia watoto ambao ni watu.
Wewe unazungumzia watoto ambao ni binadamu ambao ni kama Wanyama tuu.

Binadamu huweza kukuzwa na kiumbe yeyote hata sokwe lakini Mtu lazima akuzwe na Mtu.
Na mtu hawezi kuwa Malaya kwa Sababu Umalaya ni kinyume na UTU

Na kumbuka Hapa sizungumzii ule ushwetani wa wazi wa kuwaongoza watoto vibaya. Ila nazungumzia madhaifu ya kila siku ambayo wazee wetu waliyaficha chumbani ili kuwapa watoto malezi ya baba na mama wanayostahili.
Mkuu huwezi uficha ubaya kama vile usivyoweza kuficha Wema. Yaani huwezi uficha Ukweli. Kama mtu ni mbaya ni mbaya tuu na kama Mtu ni mwema ni mwema tuu.

Ukitaka kujua Hilo,
Ndio Yale watu wanasema Wazazi wake wachungaji lakini mtoto mhuni.
Kikawaida watoto hufichua Tabia za wazazi zile walizozificha.

Kama hujawahi kuishi na mama wa kambo, single parent au ukatelekezwa kwa ndugu baada ya familia kuvunjika. Pengine unaweza usielewe uzito wa hili kwa kuchukulia malezi ni chakula na mavazi Ila kama ulionja joto la jise. Utawaelewa hao wazee na wamama kwa sacrifise walizozitoa kwa ajili ya watoto wao

Mkuu Mimi sijazungumzia kuwa malezi kuwa ni chakula tuu.

Najua unajaribu kupanua mjadala ili uchambuzi uwe mzuri

Yote unayoyaona Duniani ni matokeo ya Weakman
 
Leo mzee mwenzangu nilikuwa kwenye mgahawa mmoja nakula pembeni nikawa nasikia mtu na mumewe
Wanazozana "mwanamke bado kasevu Namba za ex wake ety anasema ooh wanapiga tu story za kawaida" demu kakomalia ex anataka Kuja kumtembelea

Mwanaume anaonekana ni mpole kwa jinsi alivyokua anajibizana

Imenikata maini sana
Waswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁

Ila maisha ya mtaa mkuu, watu wanaishi miaka vitanda viwili tofauti au mmoja wakati wa night anatandika godoro. Ila wakitoka room ni tabasamu tu
 
Ndio Wanaume dhaifu hao. Vizuri kwa kutoa mifano ya wazi
 
Afadhali mkuu umeongelea maisha halisi na story zipo nyingi sana mitaani. Kuna wazee wengi tu wamelea watoto sio wao tena kwa upendo ndio maana husikii story mbaya za baba wa kambo.

Ila kwa sasa naona kuna vitu vingi vilivyokosa uhalisia vinapigiwa promo mtandaoni kiasi kwamba tunaona ndoa zikivunjika na watu kulea watoto kama single parents kwa kuhisi ni kawaida wakati kiuhalisia hawawezi.

Matokeo yake ndio haya tunaoyaona
Humu tunachangamshana tu lakini kwenye field tunabembeleza mno🤣😝
 
Waswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁

Ila maisha ya mtaa mkuu, watu wanaishi miaka vitanda viwili tofauti au mmoja wakati wa night anatandika godoro. Ila wakitoka room ni tabasamu tu

Hilo lipo Mkuu.
Na ndio unafiki huo.
Kumbuka pia wanaume dhaifu pia ni wanafiki.
Hawawezi kusimamia ukweli na HAKI
 
Waswahili wangedai jamaa kashatengenezwa 😁😁

Ila maisha ya mtaa mkuu, watu wanaishi miaka vitanda viwili tofauti au mmoja wakati wa night anatandika godoro. Ila wakitoka room ni tabasamu tu
Hapo nimetamani kutafta binti ambaye bado hajafika 18 nmkuze mwnyw
 
Mwanamke Malaya hawezi kuwa Bora kwa watoto wake. Tunazungumzia watoto ambao ni watu.
Wewe unazungumzia watoto ambao ni binadamu ambao ni kama Wanyama tuu.

Binadamu huweza kukuzwa na kiumbe yeyote hata sokwe lakini Mtu lazima akuzwe na Mtu.
Na mtu hawezi kuwa Malaya kwa Sababu Umalaya ni kinyume na UTU

Mkuu huwezi uficha ubaya kama vile usivyoweza kuficha Wema. Yaani huwezi uficha Ukweli. Kama mtu ni mbaya ni mbaya tuu na kama Mtu ni mwema ni mwema tuu.

Ukitaka kujua Hilo,
Ndio Yale watu wanasema Wazazi wake wachungaji lakini mtoto mhuni.
Kikawaida watoto hufichua Tabia za wazazi zile walizozificha.

Mkuu Mimi sijazungumzia kuwa malezi kuwa ni chakula tuu.

Najua unajaribu kupanua mjadala ili uchambuzi uwe mzuri

Yote unayoyaona Duniani ni matokeo ya Weakman

Labda kama umalaya unafanyika wazi Ila kama ni cheatings mkuu, tukubaliane kutokukubaliana.

Kuna wamama mitaani wana familia zilizo stable Ila nje wana ving'asti au michepuko.

Lakini pia kuna watoto wanatoka familia nzuri Ila wanaharibikiwa kutokana na peer pressure. Kwa hiyo kama unaamini mtoto wako atakua vizuri kwa kutegemea ulezi wako tu. Sali na kuomba maana hakuna bingwa wa malezi

Kuna watoto wanatokea familia nzuri Ila kwa sababu fulani wakajikuta wamedondokea pabaya kama uteja.

Kwa hiyo angalia uhalisia pia
 
Hapo nimetamani kutafta binti ambaye bado hajafika 18 nmkuze mwnyw
Na ukimkuza akapata balehe ya pili ya ukubwani yani lile wenge la kujaribu vitu vilivyopo duniani ambavyo hakuvifanya alipokuwa binti. Unaweza pigwa tukio pia

Chagua kikufaacho tu mkuu Ila ubichi sio guarantee maana hata kahaba alikuwa na ubichi pia
 
Ukweli wa mambo unaujua moyoni

Ukweli ni kuwa kwenye jamii wapo wanaume dhaifu na wapo wanaume strong.
Wewe ulichoeleza ni kuonyesha wanaume dhaifu kwa kutoa mifano.
Kwa upande mwingine wapo wanaume strong ambao hicho ulichoelezea hawawezi kukifanya.

Huo ndio ukweli
 
Na ukimkuza akapata balehe ya pili ya ukubwani yani lile wenge la kujaribu vitu vilivyopo duniani ambavyo hakuvifanya alipokuwa binti. Unaweza pigwa tukio pia

Chagua kikufaacho tu mkuu Ila ubichi sio guarantee maana hata kahaba alikuwa na ubichi pia
Ujue mkuu kadhia za wakubwa wenzetu 🤣zinakera sana
 
20250325_001041.jpg
 
Labda kama umalaya unafanyika wazi Ila kama ni cheatings mkuu, tukubaliane kutokukubaliana.

Sawasawa tutakubaliana hivi

Kuna wamama mitaani wana familia zilizo stable Ila nje wana ving'asti au michepuko.

Angalia watoto wao wakike nao wakoje. Wanakuwa vivyohivyo na kaangalie Bibi Zao nao walikuwa vivyohivyo.
Embe halianguki mbali na mti wake. Hiyo ni universal law
Lakini pia kuna watoto wanatoka familia nzuri Ila wanaharibikiwa kutokana na peer pressure. Kwa hiyo kama unaamini mtoto wako atakua vizuri kwa kutegemea ulezi wako tu. Sali na kuomba maana hakuna bingwa wa malezi

Watoto wanaoharibika kwa peer pressure ni Wachache ukilinganisha na wanaoharibika kutokana na Tabia za Kurithi na malezi.

Mbuzi hawezi kuzaa Chui bhana. Wewe ukiona mtoto kaharibika Jua Wazazi na walezi wake wanamchango Mkubwa kwa asilimia zaidi ya 75%

Kuna watoto wanatokea familia nzuri Ila kwa sababu fulani wakajikuta wamedondokea pabaya kama uteja.

Kwa hiyo angalia uhalisia pia

Hao watoto wapo ila ni Wachache

Watu wengi hawapendi kukubali ukweli kuwa maji hufuata Mkondo na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo hizo ndio Kanuni kuu za ukuaji wa mtoto kisaikolojia.

Peer pressure IPO lakini mchango wake sio Mkubwa Sana kama Wazazi na walezi watafanya sehemu yao
 
Uko too general alafu unakimbilia kutoa hitimisho mapema.

A woman is not an object, ana hisia ,akili na Maono kulingana na situation.

Maisha ya mahusiano kati ya mwamume sio mvulana na mwanamke sio msichana sio rahisi vitu vya kuwekaea strong and weak.

Mke ataweka standard zake kutokana na mazingira yake,mfano ukitoka kazini Vua soksi niwekee kwenye tenga la soski na boxa(hizi ni standards) kuzifuata it doea not mean that am weak.

You are just a boy na unajifanya unajua mengi ambayo yamekuzidi kimo.juzi tu hapa ulikua chuo wakati magufuli hostels zinajengwa leo unakuja kutuandikia mwanaume akifanya hivi ni dhaifu,

Hakuna mwanaume dhaifu mdogo wangu,siku huyo mnaemuona ni kondoo akionyesha ushupavu wake utashika kichwa

Sio kwamba tunaogopa kuachwa Noo,wana strength zao pia, mfano kupata mke anaeweza manage matumizi ya familia ukimpa pesa yake ni nadra sana.

Utakuta mke ana mazuri mengi kuliko mapumgufu,
Mfano,anatunza watoto wako vizuri,
Anapenda wazazi wako
Anakutunza vizuri,
Anatunza nyumba yenu vizuri
Anapenda ndugu zako

ila kasoro yake akiwa na hasira anaongea sana au anafoka sana.

Huwezi acha huyu mwanamke kwa kufoka foka eti nitainekana dhaifu.

Mpe pesa,mtunze kadri ya kipato chako, keep your woman good .it does not mean nakuhudumia eti usiniache, Noo.
my woman is my second adress,alipo ananiwakilisha mimi mdogo wangu,

Kuna mengi humu kwa andiko lako umeandika kwa urahisi mnoo.
 
Ujue mkuu kadhia za wakubwa wenzetu 🤣zinakera sana
Nakuelewa kwa sababu unaingia kwenye mahusiano na mtu aliyebeba trauma za mahusiano yake ya nyuma.. Ila tutafanyaje mkuu, tafuta aliye bora tu maana bado wapo
 
Uko too general alafu unakimbilia kutoa hitimisho mapema.

A woman is not an object, ana hisia ,akili na Maono kulingana na situation.

Maisha ya mahusiano kati ya mwamume sio mvulana na mwanamke sio msichana sio rahisi vitu vya kuwekaea strong and weak.

Mke ataweka standard zake kutokana na mazingira yake,mfano ukitoka kazini Vua soksi niwekee kwenye tenga la soski na boxa(hizi ni standards)

Wewe kabla huyo mwanamke hajaja ulikuwa unafanyaje kwenye hiyo nyumba yako?
Kwamba ulikuwa mchafu?
Ulikuwa unatupatupa soksi na boxer hukuwa unajua pakuweka hivyo Mpaka aje mwanamke akuelekeze pakuweka?
Au ulikuwa unajua lakini ulisubiri mwanamke aje kukuambia pakuweka?

Ingawaje naielewa hoja yako kuhusu kumpa angalau Nafasi kidogo Mkeo aonyeshe ubunifu wake lakini hiyo haitahesabika kama Amri au Sheria humo ndani kwa Sababu sio jukumu lake kutoa sheria humo ndani.

Sio kwamba tunaogopa kuachwa Noo,wana strength zao pia, mfano kupata mke anaeweza manage matumizi ya familia ukimpa pesa yake ni nadra sana.

Mwanaume unatakiwa uwe ni full package.
Ingawaje hiyo haimaanishi kuwa utafanya majukumu yote. Lengo la kuwa full package ni kumpunguzia sehemu ya majukumu Mkeo akusaidie lakini Kwa matakwa yako wewe kama kichwa cha familia. Ikiwa matakwa yako Mkeo ndio awe Msimamizi kwa baadhi ya ishu ikiwemo kukupangia chakufanya ndani ya nyumba yako hiyo ni juu yako. Lakini hiyo sio kwaajili ya kumplease Mwanamke Bali iwe kwaajili ya Upendo tuu.
Utakuta mke ana mazuri mengi kuliko mapumgufu,
Mfano,anatunza watoto wako vizuri,
Anapenda wazazi wako
Anakutunza vizuri,
Anatunza nyumba yenu vizuri
Anapenda ndugu zako

ila kasoro yake akiwa na hasira anaongea sana au anafoka sana.

Mwanamke anayekupenda na akikutana na mwanamke Kamili hawezi kufokafoka lazima atajua namna ya kuongea na Wewe don't be fooled.
Hizo mood swings wanawake hupenda kuzifanya kwa Wanaume dhaifu
Huwezi acha huyu mwanamke kwa kufoka foka eti nitainekana dhaifu.

Mpe pesa,mtunze kadri ya kipato chako, keep your woman good .it does not mean nakuhudumia eti usiniache, Noo.
my woman is my second adress,alipo ananiwakilisha mimi mdogo wangu,

Kuna mengi humu kwa andiko lako umeandika kwa urahisi mnoo.

Mwanamke akikuheshimu wewe kama mumewe na ukiweza kumdhibiti lazima akuwakilishe vizuri mbele za watu

Lakini kama hakuheshimu kwa Sababu labda wewe ni weakman hata umtunze vipi lazima akudhalilishe kwa Watu.

Kikanuni Moja ya Sheria ya lazima kwa Mke ni Kumtii na Kumsikiliza mumewe mwanamke akikosa Jambo hilo anapoteza automatically sifa ya kuwa Mke.

Mapungufu madogomadogo yapo lakini usaliti, ushirikina na Uchawi na kutokuwa na heshima kwa Mume sio mapungufu madogomadogo. Hayo ni makosa makubwa
 
Wewe kabla huyo mwanamke hajaja ulikuwa unafanyaje kwenye hiyo nyumba yako?
Kwamba ulikuwa mchafu?
Ulikuwa unatupatupa soksi na boxer hukuwa unajua pakuweka hivyo Mpaka aje mwanamke akuelekeze pakuweka?
Au ulikuwa unajua lakini ulisubiri mwanamke aje kukuambia pakuweka?

Ingawaje naielewa hoja yako kuhusu kumpa angalau Nafasi kidogo Mkeo aonyeshe ubunifu wake lakini hiyo haitahesabika kama Amri au Sheria humo ndani kwa Sababu sio jukumu lake kutoa sheria humo ndani.

Mwanaume unatakiwa uwe ni full package.
Ingawaje hiyo haimaanishi kuwa utafanya majukumu yote. Lengo la kuwa full package ni kumpunguzia sehemu ya majukumu Mkeo akusaidie lakini Kwa matakwa yako wewe kama kichwa cha familia. Ikiwa matakwa yako Mkeo ndio awe Msimamizi kwa baadhi ya ishu ikiwemo kukupangia chakufanya ndani ya nyumba yako hiyo ni juu yako. Lakini hiyo sio kwaajili ya kumplease Mwanamke Bali iwe kwaajili ya Upendo tuu.

Mwanamke anayekupenda na akikutana na mwanamke Kamili hawezi kufokafoka lazima atajua namna ya kuongea na Wewe don't be fooled.
Hizo mood swings wanawake hupenda kuzifanya kwa Wanaume dhaifu

Mwanamke akikuheshimu wewe kama mumewe na ukiweza kumdhibiti lazima akuwakilishe vizuri mbele za watu

Lakini kama hakuheshimu kwa Sababu labda wewe ni weakman hata umtunze vipi lazima akudhalilishe kwa Watu.

Kikanuni Moja ya Sheria ya lazima kwa Mke ni Kumtii na Kumsikiliza mumewe mwanamke akikosa Jambo hilo anapoteza automatically sifa ya kuwa Mke.

Mapungufu madogomadogo yapo lakini usaliti, ushirikina na Uchawi na kutokuwa na heshima kwa Mume sio mapungufu madogomadogo. Hayo ni makosa makubwa

You are just a boy who can not handle his emotions.
 
Back
Top Bottom