Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Hizi mada ni projection ya watu wanavyotamani mambo yawe Ila uhalisia mtaani ni tofauti.

Kuna watu wameishi miaka mingi mzungu wa nne ili mradi watoto wapate malezi

Wazee wengi wenye hekima waliishi bila mayowe pale wanapofikwa na vitu kwa sababu mambo yaliishia chumbani kissi wengi mnadhani ndoa za zamani zilikuwa perfect. HAPANA

Kitanda hakizai haramu haukuwa ni msemo wa kutungwa, ukifungua vifua vya wazee wa zamani mtaona kama wangekuwa na ego za kipuuzi puuzi, watoto wengi wangeishia mitaani na wangechomana kwa magunia ya mkaa kuliko hata sasa.. Ila huwezi kujua haya maana walikuwa na vifua
Yamkini, Inauma sana kuambiwa mtoto sio wako mkuu
 
Ndoa za zamani zingekuwa perfect sasa hivi kusingekuwa na usumbufu

Usumbufu wa sasa hivi kwa Asilimia kubwa unatokana na mapungufu ya wazee wetu kufanya unafiki kwenye mambo ya msingi.

Ni mwanaume dhaifu ambaye atavumilia maujinga ya mkewe na utovu wa Nidhamu kwa kisingizio cha Watoto.

Mapenzi yakishaisha na uhalifu ukishaingia kwenye familia hiyo ndoa inatakiwa ivunjwe kwa mustakabali mwema wa watoto.

Huwezi kulea watoto wakawa na maadili ya maana kwa mwanaume au Baba kuwa DHAIFU. Never ever.

Ni wanaume dhaifu wanaoua wenza wao au kujeruhi wenza wao.

Mwanamke akikushinda, hafuati Sheria zako jawabu ni kumpa Talaka.
 
10. Umetafuta pesa kwa jasho umepata elfu 10 alafu demu anakuomba elfu 20, we ulivyokua bwege unatuma elfu 10 yote uliyonayo huku unaomba msamaha eti sahamani hali haikua nzuri chukua tu hiyo 10 kwanza acha ubwege dhaifu wewe
 
Alafu anaweka wimbo wanaume wameumbwa mateso
Labda wanaume dhaifu

Mtu unaweza kujitafutia mwenyewe useme umeumbwa mateso? Seriously!!
 
Yamkini, Inauma sana kuambiwa mtoto sio wako mkuu
Amini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yake

Wengine wakiachana mke anaenda olewa pengi na baada ya muda anarudi pengine hata na mtoto. Na wengine wakioa single mother wanachukua na mtoto kabisa na hizi issues zipo kimila kabisa.

Na sio kwamba napinga mada kwa sababu najua usaliti si sawa au kubambikiziwa mtoto. Ila nature ya wazee wetu kubaki kimya imewafanya wanaume wengi tuamini mama zetu walikuwa perfect tofauti na wanawake wa kipindi hiki

Ila kiuhalisia, wote hawakuwa perfect na wengine walifanya mazito kuliko tunaoyaona leo mkuu🙏🏽🙏🏽
 
Amini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yake

Wengine wakiachana mke anaenda olewa pengi na baada ya muda anarudi pengine hata na mtoto. Na wengine wakioa single mother wanachukua na mtoto kabisa na hizi issues zipo kimila kabisa.

Na sio kwamba napinga mada kwa sababu najua usaliti si sawa au kubambikiziwa kesi. Ila nature ya wazee wetu kubaki kimya imewafanya wanaume wengi tuamini mama zetu walikuwa perfect tofauti na wanawake wa kipindi hiki

Wewe jamii inayokuwa na mtazamo kuwa kitanda hakizai haramu na unatakiwa ulee mtoto hata kama sio wako unakiona kilikuwa kizazi au ilikuwa jamii inayojielewa?

Jamii ya kitapeli hiyo
 
Kijana asiye na uelewa lakini upo kwenye uzi wake na ukashindwa kujidhibiti ukampata kiherehere cha kutoa maoni yako. Kweli unajielewa Mkuu. Big up

Lazima nisome kisha nitambue ujinga na nikishauona ujinga lazima niuseme.

Siwezi screen tu juu kwa juu na kusema kitu ambacho sijakisoma.
 
Ndoa za zamani zingekuwa perfect sasa hivi kusingekuwa na usumbufu

Usumbufu wa sasa hivi kwa Asilimia kubwa unatokana na mapungufu ya wazee wetu kufanya unafiki kwenye mambo ya msingi.

Ni mwanaume dhaifu ambaye atavumilia maujinga ya mkewe na utovu wa Nidhamu kwa kisingizio cha Watoto.

Mapenzi yakishaisha na uhalifu ukishaingia kwenye familia hiyo ndoa inatakiwa ivunjwe kwa mustakabali mwema wa watoto.

Huwezi kulea watoto wakawa na maadili ya maana kwa mwanaume au Baba kuwa DHAIFU. Never ever.

Ni wanaume dhaifu wanaoua wenza wao au kujeruhi wenza wao.

Mwanamke akikushinda, hafuati Sheria zako jawabu ni kumpa Talaka.
Unajifanya kungwi
Amini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yake

Wengine wakiachana mke anaenda olewa pengi na baada ya muda anarudi pengine hata na mtoto. Na wengine wakioa single mother wanachukua na mtoto kabisa na hizi issues zipo kimila kabisa.

Na sio kwamba napinga mada kwa sababu najua usaliti si sawa au kubambikiziwa kesi. Ila nature ya wazee wetu kubaki kimya imewafanya wanaume wengi tuamini mama zetu walikuwa perfect tofauti na wanawake wa kipindi hiki

Ila kiuhalisia, wote hawakuwa perfect na wengine walifanya mazito kuliko tunaoyaona leo mkuu🙏🏽🙏🏽
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamoja
 
10. Umetafuta pesa kwa jasho umepata elfu 10 alafu demu anakuomba elfu 20, we ulivyokua bwege unatuma elfu 10 yote uliyonayo huku unaomba msamaha eti sahamani hali haikua nzuri chukua tu hiyo 10 kwanza acha ubwege dhaifu wewe
😂😂😂😂😂
 
Unajifanya kungwi
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamoja

Sio najifanya kungwi

Ni kwamba Watibeli tuna wanaume wenye Haki, Akili,upendo na kupenda UKWELI.
Na ukiwa na hayo mambo wewe ni mwanaume Kamili

Sasa kwa tukio kama Hilo uliwahi kuona mwanaume anayejielewa akafanya Jambo kama Hilo?

Ikiwa mwanaume Kamili akimfumania mkewe anamfukuza sembuse kumletea watoto Kabisa.
Hayo mambo hufanywa na Wanaume dhaifu ambao unaweza kwenda nyumbani kwake ukamgongea mkewe akajua na Mkewe akapata Mimba na bado huyo mwanaume akalea huyo mtoto.

Wewe kwa akili ya kawaida unafikiri Hilo linawezakana hata mnyama mwenye akilindogo hawezi sembuse mtu
 
Ndoa za zamani zingekuwa perfect sasa hivi kusingekuwa na usumbufu

Usumbufu wa sasa hivi kwa Asilimia kubwa unatokana na mapungufu ya wazee wetu kufanya unafiki kwenye mambo ya msingi.

Ni mwanaume dhaifu ambaye atavumilia maujinga ya mkewe na utovu wa Nidhamu kwa kisingizio cha Watoto.

Mapenzi yakishaisha na uhalifu ukishaingia kwenye familia hiyo ndoa inatakiwa ivunjwe kwa mustakabali mwema wa watoto.

Huwezi kulea watoto wakawa na maadili ya maana kwa mwanaume au Baba kuwa DHAIFU. Never ever.

Ni wanaume dhaifu wanaoua wenza wao au kujeruhi wenza wao.

Mwanamke akikushinda, hafuati Sheria zako jawabu ni kumpa Talaka.
Mtibeli

Mwanamke yupo loyal 100% kwa kiumbe mmoja tu ambaye ni mtoto wake.

Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa mke malaya kwako Ila akawa ni mama bora kwa watoto wako. The same way, mwanaume anaweza asiwe mume bora yani mlevi, mzinzi na hajali hisia za mwanamke Ila kwenye kuangalia watoto wake akawa perfect.

Na kumbuka Hapa sizungumzii ule ushwetani wa wazi wa kuwaongoza watoto vibaya. Ila nazungumzia madhaifu ya kila siku ambayo wazee wetu waliyaficha chumbani ili kuwapa watoto malezi ya baba na mama wanayostahili.

Kama hujawahi kuishi na mama wa kambo, single parent au ukatelekezwa kwa ndugu baada ya familia kuvunjika. Pengine unaweza usielewe uzito wa hili kwa kuchukulia malezi ni chakula na mavazi Ila kama ulionja joto la jise. Utawaelewa hao wazee na wamama kwa sacrifise walizozitoa kwa ajili ya watoto wao
 
Hiyo namba tatu naona inakosa uhalisia, yaani mtu uishi naye miaka 10 halafu usiogope kumpoteza?? Mmmh naona kama impossible hivi
 
Mtibeli

Mwanamke yupo loyal 100% kwa kiumbe mmoja tu ambaye ni mtoto wake.

Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa mke malaya kwako Ila akawa ni mama bora kwa watoto wako. The same way, mwanaume anaweza asiwe mume bora yani mlevi, mzinzi na hajali hisia za mwanamke Ila kwenye kuangalia watoto wake akawa perfect.

Na kumbuka Hapa sizungumzii ule ushwetani wa wazi wa kuwaongoza watoto vibaya. Ila nazungumzia madhaifu ya kila siku ambayo wazee wetu waliyaficha chumbani ili kuwapa watoto malezi ya baba na mama wanayostahili.

Kama hujawahi kuishi na mama wa kambo, single parent au ukatelekezwa kwa ndugu baada ya familia kuvunjika. Pengine unaweza usielewe uzito wa hili kwa kuchukulia malezi ni chakula na mavazi Ila kama ulionja joto la jise. Utawaelewa hao wazee na wamama kwa sacrifise walizozitoa kwa ajili ya watoto wao
Leo mzee mwenzangu nilikuwa kwenye mgahawa mmoja nakula pembeni nikawa nasikia mtu na mumewe
Wanazozana "mwanamke bado kasevu Namba za ex wake ety anasema ooh wanapiga tu story za kawaida" demu kakomalia ex anataka Kuja kumtembelea

Mwanaume anaonekana ni mpole kwa jinsi alivyokua anajibizana

Imenikata maini sana
 
Unajifanya kungwi
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamoja
Afadhali mkuu umeongelea maisha halisi na story zipo nyingi sana mitaani. Kuna wazee wengi tu wamelea watoto sio wao tena kwa upendo ndio maana husikii story mbaya za baba wa kambo.

Ila kwa sasa naona kuna vitu vingi vilivyokosa uhalisia vinapigiwa promo mtandaoni kiasi kwamba tunaona ndoa zikivunjika na watu kulea watoto kama single parents kwa kuhisi ni kawaida wakati kiuhalisia hawawezi.

Matokeo yake ndio haya tunaoyaona
 
Back
Top Bottom