Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Mwanaume Automatic unatakiwa upewe heshima yako bila kujari una pesa au huna una kazi au hauna.

Acha wa kudharau huko mtaani ila nyumbani heshima yako ibaki palepale.

Ukikoswa msimamo ni sawa na kukoswa Dira yaani umekuwa bendera. Mwanamke kukupangia ratiba za kumtoa out yeye ni moja ya dalili kubwa sana kuwa yeye ndo kashika remote ya kichwa chako.

Daima mwanaume mambo ya kumfurahisha mkeo au mwanamke yyte yafanyike kama surprise tu awe amejiandaa au hajajiandaa akisema umemshitukiza piga chini mwambie haya wakati mwingine....

Inakuwaje mwanamke akuambie umfanyie Happy birthday yake alike na marafiki zake nawewe ukubalu kirahisi eti usipofany vile badi itaonekana humpendi!!

Mwanaume acha ujinga bana ninyi ndo mnatufanya wanaume halisi tuonekane sisi ni wakoloni kwa sababu ya upuuzi wenu.

Stage ya mwanamke kukufananisha na wanaume wa shost zake basi jua your useless man. Mwanaume ukifikia stage mkeo anasema jamani wewe ni baba bora ni mwanaume makini najivunia kuwa nawewe jutathimini sana kuna sehemu umepwaya. Mwanaume kamili hatabiriki kama ni wabaridi au wa moto kuna muda anakuwa wa vuguvugu au moto kabisaa akipoa kuwa bardi haichukui muda tena sensor Zina change.....

Kwa Lugha nyepesi ni kuwa mwanamke ndiye anatakiwa afuate Mila na desturi na Sheria za mwanaume ambaye ni Mumewe.
 
Yaani Kazi huna, pesa huna Sasa We Mwanaume gani? Takataka.

Na bado unataka upewe heshima?

Mtawalaum wanawake bure tu.

Mwanaume hawezi kukosa Kazi ila pesa anaweza Kukosa

Ndio maana wanaume wenye Kazi na wenye pesa huwachukulia wanawake wengi kama vikaragosi kwa Sababu wengi wapo after money(wanajiuza) na wanaume wengi tunajua Bila Kazi tulizonazo wanawake wengi hawawezi kutuheshimu.

Kwa namna hiyo Kazi ni Bora mara elfu kuliko Mwanamke.
Kwa sababu kupitia Kazi unaweza kuwa na wanawake hata elfu 10
 
Mwanaume hawezi kukosa Kazi ila pesa anaweza Kukosa

Ndio maana wanaume wenye Kazi na wenye pesa huwachukulia wanawake wengi kama vikaragosi kwa Sababu wengi wapo after money(wanajiuza) na wanaume wengi tunajua Bila Kazi tulizonazo wanawake wengi hawawezi kutuheshimu.

Kwa namna hiyo Kazi ni Bora mara elfu kuliko Mwanamke.
Kwa sababu kupitia Kazi unaweza kuwa na wanawake hata elfu 10
SAsa kwanini Mwanaume anataka heshima wakati hata kazi hana, pesa hana. Huyo ni Hana Mbele wa nyuma then anataka heshima?

Mtu asiyeweza kusecure angalau kimoja wapo huyo naye ni Mwanaume?
 
Hizi mada ni projection ya watu wanavyotamani mambo yawe Ila uhalisia mtaani ni tofauti.

Kuna watu wameishi miaka mingi mzungu wa nne ili mradi watoto wapate malezi

Wazee wengi wenye hekima waliishi bila mayowe pale wanapofikwa na vitu kwa sababu mambo yaliishia chumbani kiasi wengi mnadhani ndoa za zamani zilikuwa perfect. HAPANA

Kitanda hakizai haramu haukuwa ni msemo wa kutungwa, ukifungua vifua vya wazee wa zamani mtaona kama wangekuwa na ego za kipuuzi puuzi, watoto wengi wangeishia mitaani na wangechomana kwa magunia ya mkaa kuliko hata sasa.. Ila huwezi kujua haya maana walikuwa na vifua
Mleta uzi kuna kitu kakosea?
 
Wewe jamii inayokuwa na mtazamo kuwa kitanda hakizai haramu na unatakiwa ulee mtoto hata kama sio wako unakiona kilikuwa kizazi au ilikuwa jamii inayojielewa?

Jamii ya kitapeli hiyo
Mkuu, kwanza hao wazee wa zamani na busara zao nyingine za hovyo kabisa zilizosababishwa na tamaduni za hovyo kabisa, kwa mfano wamasai kusimika mkuki nje ya nyumba na kumtomba mke wa mwenzie, ni aina ya tamaduni ya hovyo kabisa iliyozalisha busara za hovyo kabisa. Yani utombewe mke hadi apate ujauzito na wewe uko tu kama boya?! Uzezeta wa hali ya juu kabisa?!
 
Mkuu, kwanza hao wazee wa zamani na busara zao nyingine za hovyo kabisa zilizosababishwa na tamaduni za hovyo kabisa, kwa mfano wamasai kusimika mkuki nje ya nyumba na kumtomba mke wa mwenzie, ni aina ya tamaduni ya hovyo kabisa iliyozalisha busara za hovyo kabisa. Yani utombewe mke hadi apate ujauzito na wewe uko tu kama boya?! Uzezeta wa hali ya juu kabisa?!
Ni roho ya uzinzi na tamaa ya ngono zilowaongoza hadi wakakosa akili.
 
Mkuu, kwanza hao wazee wa zamani na busara zao nyingine za hovyo kabisa zilizosababishwa na tamaduni za hovyo kabisa, kwa mfano wamasai kusimika mkuki nje ya nyumba na kumtomba mke wa mwenzie, ni aina ya tamaduni ya hovyo kabisa iliyozalisha busara za hovyo kabisa. Yani utombewe mke hadi apate ujauzito na wewe uko tu kama boya?! Uzezeta wa hali ya juu kabisa?!

Wanakuambia kitanda hakizai haramu mara nyingi ni jamii isiyo na uadilifu na mipaka katika mahusiano ya ndoa na mapenzi
 
Yaani Kazi huna, pesa huna Sasa We Mwanaume gani? Takataka.

Na bado unataka upewe heshima?

Mtawalaum wanawake bure tu.
Heshima ni zaidi ya hizo kazi na pesa! Unaweza ukawa napesa au kazi ukaoswa heshima!!

Kazi na pesa huisha bali heshima hudumu.....ukiona unaheshimiwa kwa sababu ya kitu fln sio heshima hiyo hapo nazungumzia kwenye familia yako.

Ipo siku mwanamke hatakuheshimu kwa sababu hujasoma yaan huna elimu!!

Ipo siku utapoteza kazi na utafirisika kwa sababu alikuwa anakuheshimu kwa kuwa una pesa na kazi basi heshima itaishia hapo!!


Mwanaume unatakiwa utimize majukumu ya familia tu maswala ya pesa na kazi huja na kutoka.

Usiponielewa sio mimi tena mkuu.
 
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺

SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha

Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!

Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako?
Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu itakuhudumia kwa ubora wa hali ya juu. Tunahudunia wateja wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha na Kilimanjaro

🪖🦺 Shebwa Masonry Contractor 🪖🦺
Tunajivunia kufanya kazi za viwango vya hali ya juu, usahihi, na ufanisi ili kuhakikisha tunatoa huduma iliyo bora,imara, salama, na yenye kuvutia. Tunaelewa kuwa nyumba yako ni uwekezaji wa thamani, ndiyo maana tunatoa huduma bora ambazo utafurahia.

Kwa Nini Utuchague?
🪖. Wataalamu wenye ujuzi wa kutatua changamoto za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.
🪖. Ubora wa kazi na wenye kufwata vigezo vyote vya ujenzi.
🪖. Gharama nafuu na huduma zinazolingana na bajeti yako.
🪖. Huduma za haraka, salama, na zenye viwango

Maelezo Zaidi Ya Huduma Zetu:
🔨. Uashi (Masonry): Ujenzi na ukarabati kwa kutumia matofali, mawe, au saruji (cement) kwa ajili ya kuta, misingi, n.k.

⛏️. Uwekaji wa Paa (Roofing):

🔨. Uwekaji wa Tailizi (Tiles Installation)

⛏️. Upakaji wa Rangi: Kupaka rangi ndani na nje ya nyumba.

🔨. Ukarabati wa Kuta na Upigaji Plasta: Kurekebisha nyufa, mashimo, au kuta zilizoharibika na kupiga plasta.

⛏️. Uwekaji na Ukarabati wa Sakafu: Kuweka sakafu mpya na kurekebisha sehemu zilizoharibika.

🔨. Ufungaji na Ukarabati wa Mifereji ya Maji:

⛏️. Ukarabati wa Dari: Kurekebisha nyufa, uharibifu wa maji, au kudorora kwa dari.

🔨. Uwekaji na Ukarabati wa Uzio:

⛏️. Upangaji wa Nje na Uwekaji wa Pevin

🔨. Uwekaji wa Mageti na Grili za Chuma

⛏️. Tuulize kuhusu huduma unayohitaji ambayo haija orodheshwa.

Huduma hizi zinahusu kumiliki mjengo mpya, kutunza, kurekebisha, na kuboresha majengo ya makazi na biashara yaliyochakaa. Karibu mteja.🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Habari Wakuu!

Bila kupoteza wakati.

1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono.
Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu.

2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili huyo mwanamke abaki na wewe.
Hiyo ni dalili kuu nyingine inayoonyesha kuwa wewe huna lolote la Maana, mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa.
Mwanamke ndiye anatakiwa atumie nguvu kubwa kuwa na kubaki na wewe na sio wewe umeng'ang'ania.

3. Unaogopa Kumpoteza au unaogopa kuachana naye.
Ukitaka ujue kuwa wewe ni mwanaume wa aina gani, Moja ya vipimo katika Mzani wa kisaikolojia ni pamoja na kuogopa kumpoteza au kuachana na mwanamke.

Mwanaume dhaifu na asiye na lolote huogopa kuachana na mwanamke.

Mwanaume kamili na Halisi haogopi kuachana na mwanamke na wanawake hujua waziwazi wanapokuwa mbele ya wanaume waaina hiyo.

Mwanaume dhaifu hutishiwa na mwanamke kuachana nao huteseka Sana lakini kosa Hilo mwanamke hawezi kujaribu kulifanya kwa kumtishia mwanaume Kamili kuwa atamuacha hata kwa utani kwa Sababu wanawake hujua maamuzi ya wanaume Halisi yakoje.

4. Mwanamke kukukosea heshima, kukufokea na mwanaume anakuwa Hana chakufanya.
Hiyo ni dalili kuwa wewe ni weak man,usiye na mbele Wala nyuma, uliyekata tamaa.

Mwanamke anajiamulia mambo, anondoka bila kibali Wala ruhusa yako, anarudi atakavyo, na wewe huna chakufanya. Wewe ni mwanaume dhaifu.

5. Anakuwekea Sheria na standards zake ALAFU wewe unafuata.
Wanaume dhaifu na waliokata tamaa na wasio na MBELE Wala Nyuma ndio huwekewa Sheria na standards na Wanawake na wao hufuata.

Wanaume dhaifu ni wafuasi wa Wanawake. Hufuata matakwa ya Wanawake.
Ni wanaume waliojidharau na waliodharaulika.

Mfano, mwanamke anakuambia bila pesa au bila kumpa kitu Fulani huwezi kuwa naye au hakupi papuchi nawe kama mbuzi unafuata Sheria na standards zake. Ingawaje kisaikolojia wanaume dhaifu ni emotional entity, na hawawezi kujidhibiti hisia Zao za ngono.

6. Unashindwa kufanya maamuzi Mpaka umuulize.
Yaani yeye ndiye anakuwa kama mwanaume wewe unakuwa Demu. Kila kitu Mpaka umuulize sasa Nani mwanaume hapo. Mwanaume Kamili hayupo hivyo.

7. Muda wote unamfikiria Yeye.
Kwanza huo ni utoto na ulimbukeni. Unashindwa kufanya mambo ya msingi Muda wote unamuwaza yeye.

8. Unapigana na watu na kuzuia watu wasiongee naye huko mabarabarani.
Unaogopa kuachwa.

Unawivu wa kijinga. Unagombana na watu Kisa mwanamke. Unamchunga mtu uliyemuambia akikucheat ataondoka hivi uko Sawa kichwani?
Mwanaume Kamili hayupo hivyo.

9. Anakusaliti na umemfumania na bado unamsamehe mnaendelea kuishi wote.
Wewe ni mwanaume dhaifu, uliyeshindwa kila kitu, usiyejiamini.

Mwanaume Kamili na anayejiamini hata siku Moja hawezi kuishi na mwanamke msaliti hata kwa namna yoyote hata angeambiwa asiende Mbinguni yupo tayari kwa Hilo.

Vijana, mapenzi huwaumiza zaidi wanaume dhaifu kwa Sababu kiasili wanaume dhaifu hawanaga Akili, huendeshwa na Mihemko, na hisia, hushindwa kudhibiti hisia na Mihemko Yao. Hawajui wao ni wanaume hivyo ni kusema hawajitambui.

Na mwanaume asiyejitambua ni Weakman na finished Man.

Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam
Du kwahiyo ww ushaachana na mkeo
 
Back
Top Bottom