Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

Ukiona mtu ameanza kujijali yeye kuliko watoto, wazazi, ndugu au marafiki ujue huyo mtu ameanza kuwa na akili
 
Ukiona haupo kwenye chochote kati ya hayo, basi kwa vyovyote lazima utakuwa mwanaume mwenye watoto wanaolelewa na single mother.
 
hii ni kwa wale wanaoendekeza kumer km kipaumbele chao (ilhali Tz hakuna mapenzi bali ngono zembe tu), shauri zao, hakuna ke wa kunipanda kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…