Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Kweli kabisa mkui
 
Very true
 
Ndipo kigugumizi Cha kukemea USHOGA na ulawiti kinapoanzia!!

Kwa Mfano unaambiwa, Ili tukupe mkopo huu, hakikisha watoto mashuleni wanafundishwa USHOGA na kupewa vilainishi🤔

Ni Kwa Mfano tu, sasa masharti hayo so Rahisi!!
 
Kwanini awashindwe na yeye ndio mkuu wa nchi ?
 
Kinachokwamisha ni Nini? Na nani anakwamisha?
Kimeshajulikana na ndiyo maana anapelekwa Jafo kupiga pasi.

Labda hujamsikiliza vizuri Rais mama Samia.

Kumbuka tu na elewa tu, Kariakoo kuna Reforms na Rebuilding kubwa zinaendelea.
 
Yule mkuu wa Mkoa ni Komedian ingawa aliongea ukweli kwamba serikali haishindwi kitu. Cha kuniuliza kwanini Rais awajue wezi halafu awaache?.
Kushindwa kitu gani hicho! Kuna mifano mingi inapojikongoja! Ila ikijitahidi kidogo inaweza kufanya vizuri.
 
Wasaidizi wa Rais ni kama Mimi na wewe, sio malaika. Ndio maana huwa wanashuri uteuzi wa mtu aliyefariki Dunia.
Hapo ndipo utapoelewa kuwa wabovu ni watendaji, halafu mtu anauliza kwanini kuna mabadiliko kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…