econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
- Thread starter
- #221
Kweli kabisa mkuuMoja ya kosa kubwa watawala wetu wanalifanya isipokuwa kikwete hakufanya sana haya ni kuchagua askari type kwenda kuongiza taasisi.
Kidata alikuwa na attitude ya uaskari katokea kitengo wao wanaendeshwa na amri tuu hakuna strategic business thinkingna kila alilokuwa akilifanya alikuwa anatumia nguvu hivyo wadau wengi hawakumkubali.
Issue ya kariakoo inatawaliwa zaidi na maboss wa yanga na other cartels wanaopambania consolidation ya kuleta mizigo kwa gharama ndogo kwa mfanyabiashara na huku tra inataka kodi kubwa toka kwa mtu aliyeletewa mzigo kwa gharama ndogo za njia ya mkato