Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Mnamuonea tu mama wa watu ila pale TRA kuna mapapa mpaka magufuli aliwashindwa tena watu wazito kutoka serikalini na wafanyabiashara wakubwa na wanalindwa na mfumo wengine ni viongozi wastaafu wa CCM na serikali washaingia mpaka ikulu unadhani hyo vita mama anaiweza acheni kumuandama mambo sio rahisi kama unavyodhani.
Wewe ukiitwa mpumbavu kabisa utakasirika? Kazi ya rais wa nchi mwenye kila aina ya zana za kuongoza nchi ni nini? Unamaanisha hii nchi inaendeshwa na kundi la mapapa na siyo rais? Kama ni hivyo rais anafanya nini pale ikulu? Mawazo ya kipumbavu kabisa haya.
 
Sasa ukiwa rais halafu kukawa na watu wananguvu kuliko rais basi wewe rais ndio hufai si ndivyo
 
Kama ulimsikiliza alisema jana kwamba kidata mpaka baadhi ya watumishi wa ikulu na viongozi wa serikali walikuwa hawampendi itafakari vizuri hyo kauli.
Bado unaendelea na ujinga wako? Kichwa chako kina kamasi au ubongo?
 
Kwa Tanzania tatizo ni watendaji siyo watawala, wengi fikra zao kama zako. Zimekaa kutawaliwa tawaliwa tu, siyo kujitawala.
Hapana, Tanzania bado inatawaliwa na watawala ndio wenye last say. Ndio maana kila mahali wanadai ni pesa za Rais. Rais kafanya hiki na kile. Hivyo, Rais ndio tatizo.
 
Ungoje nini wakati mambo motomoto, unaziishi Reforms, unasikitisha sana kuwa huzioni.
Hakuna Cha reforms Wala Nini. Kungekuwa na reforms watu wasingegoma hapo kariakoo. Maana reforms zonaleta unafiki na sio ugumu.
 
Umejitaidi kugeuza geuza hoja zionekane mbaya ila pumba tuh umeandika ,,hoja kama ya rais kujua tra wanaiba asa hilo c kila mtu anajua ulitaka awe mnafki asiseme ?
Pumba ipi?. Rais kukiri TRA Kuna wezi?. Yani Rais ameshindwa kuwashughulikia hao wezi TRA?. Hauko serious kabisa.
 
Hakuna Cha reforms Wala Nini. Kungekuwa na reforms watu wasingegoma hapo kariakoo. Maana reforms zonaleta unafiki na sio ugumu.
Kugoma hakujaanza leo na wala hakutakwisha leo, hiyo poeke yake inakuonesha Reforms zinavyofanya kazi, miaka 5 nyuma kuna Mtanzania aliweza kugoma?

Au bado ulikuwa mdogo? Maana unavyoandika unaonesha upo finyu sana. Huelewi kuwa hata kugoma ni matokeo chanya ya Reforms.
 
Wewe ukiitwa mpumbavu kabisa utakasirika? Kazi ya rais wa nchi mwenye kila aina ya zana za kuongoza nchi ni nini? Unamaanisha hii nchi inaendeshwa na kundi la mapapa na siyo rais? Kama ni hivyo rais anafanya nini pale ikulu? Mawazo ya kipumbavu kabisa haya.
Kweli mkuu watu wanashindwa kujua nguvu aliyonayo Rais.
 
Ni vile tu raisi ana mamlaka makubwa na akikosolewa basi mkosoaji kama huna ubavu unapotezwa haraka, ila kwenye hii hotuba yake kuna maswali mengi zaidi ya majibu kama wengi walivyotaraji.
 
Kwa maana nyingine Rais kamtoa mchapakazi kisa wenzake hawampendi?. Yani unamtoa mtu kazini kisa walioko Chini yake hawampendi.

Kuhusu wizi CCM na Serikali yake ni wezi, lakini kwanini Serikali imeshindwa kuwadhiti wezi wa Kariakoo?
Hakunaga uchapakazi ofisini au mahala popote kama watu wote wanakuona kero,mbaya zaidi sio tuu Watumishi Bali hata wadau ambao ni wafanyabiashara.

Hapo.kero ni wewe au wao? 😂😂
 
Juha ni neno sahihi kwa mtu asiyeona au kusikia anayoyabishia hata anapooneshwa ukweli. Ni sifa hiyo.
Sasa kuna ukweli gani umenionesha nikakataa?. Halafu Mimi huwezi kuniambia Kuna reforms wakati unatumia Katiba ya mwaka 1977.
 
Kweli mkuu watu wanashindwa kujua nguvu aliyonayo Rais.
Ssa hivi unaweza kugoma kwa kudeka na ukasikilizwa, unaweza kufanya maandamno kwa kudeka na ukasikilizwa na yote hayo na ulinzi juu unapewa.

Sasa hivi tunaona wapinzani wanawaalika CCM kwenye mikutano yao na wanapewa nafasi ya kuongea, tulimuona Rais mamam smia akilianzisha hilo kwa kina mama wa chadomo, juzi nimeona tena Mkuu wa wilaya fulani huko Tanga na yeye aliombwa awakaribishe wilayani kwake wa upinzani,

Hujaiona tu nguvu ya Rais mama Samia?
 
Kugoma hakujaanza leo na wala hakutakwisha leo, hiyo poeke yake inakuonesha Reforms zinavyofanya kazi, miaka 5 nyuma kuna Mtanzania aliweza kugoma?

Au bado ulikuwa mdogo? Maana unavyoandika unaonesha upo finyu sana. Huelewi kuwa hata kugoma ni matokeo chanya ya Reforms.
Wewe ndio mfinyu wa mawazo. Reforms haitakiwi kuleta migomo Bali kuiondoa kabisa.
 
Back
Top Bottom