FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Upo finyu kweli kijana, nikikuita Juha usikasirike, ni sifa yako. Hivi hauelewi kuwa toka mama Samia kashika Urais kuna mchkato wa katiba mpya unaendelea, na akasema wakati unaendelea yanayoweza ufanyiwa marekebisho kisheria yafanyiwe, yamefanyiwa.Sasa kuna ukweli gani umenionesha nikakataa?. Halafu Mimi huwezi kuniambia Kuna reforms wakati unatumia Katiba ya mwaka 1977.
Huwezi kukurupuka kwa jambo muhimu kama katiba, unaweza kuishia njiani kama ilivyokuwa wakagti wa Kikwete. Labda uwe dikteta kama nyererfe, uandike katiba yako useme ipitisheni, anaegoma kuipitisha anapitishwa yeye au uwe kama Magufuli, useme hakuna na ukipinga hakuna hata kuongelea siasa mpaka kipindi cha uchaguzi, na ukipinga alikuwa aan kufinya. Ndiyo unayataka hayo?
Shukuru Mungu, sasa hivi una Rais mwenye kuzijuwa R nne muhimu sana katika kuoingoza na kujiongoza.
Wewe falsafa ya R nne umeitumia vipi kukunufaisha binafsi?