Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Kweli kabisa mkuu
 
Kweli kabisa , cheo kimemzidi.
 
Labda na yeye yuko South Korea. Maana nilisikia yule chawa Steve Nyerere akisema alibubujikwa na machozi ya furaha!

Sasa tokea hiyo safari yao imeanza, sijamsikia kabisa Mwashambwa.😀 usikute ndo Steve Nyerere mwenyewe daah.
Itakuwa kweli mkuu. Maana tangu hiyo safari hajaonekana hapa
 
Sasa hapo unatetea Nini dogo?

Wazandelendo tunasikitishwa na hotuba ya mama ambaye amekosa mwelekeo, imepelekea tunaathirika na na huu utawala

We vipi? Ni mtanzania mwenzetu??
Mkuu Kuna watu uchawa umewapofusha hata ukweli hawauoni.
 
Sawa mkuu
 
David Kafulila na chawa wake Lucas Mwashambwa walikuwa wanampotosha kuhusu mikopo . Ameanza kushtuka , sasa ana mkumbuka Ndugai .
Sijui Kafulila atajificha na zile takwimu zake za mikopo. Ndio shida ya kuwa chawa, siku bosi akibadilisha GIA inabidi na wewe ubadilishe.
 
Huyu mpya kaambiwa asikubali kuwapendezesha , ampendezeshe Rais pekee yake. Ni kama Rais kazidiwa nguvu na watu au kundi Fulani humo TRA.
 
Sidhani, JPM pamoja na Mimi kutokubali ni mara kumi zaidi ya Samiah. JPM asingeanza kulalamika mikopo inatunyanyasa
 
Ni wachache sana wenye uwezo wa kurithi MALI nakuendeleza vema.


Mzee aliteua mrithi pasi na kujua ni mlabata tu na hana uwezo wa kuendeleza.
Kweli kabisa. Angeteua jembe Leo mambo yangekuwa tofauti.
 
Ndipo kigugumizi Cha kukemea USHOGA na ulawiti kinapoanzia!!

Kwa Mfano unaambiwa, Ili tukupe mkopo huu, hakikisha watoto mashuleni wanafundishwa USHOGA na kupewa vilainishi🤔

Ni Kwa Mfano tu, sasa masharti hayo so Rahisi!!
Na Mimi nimeona Hilo. Maana kama masharti ya mikopo yanataka hivyo utafanyaje?. Ndio maana ushoga umeshamiri kwa Kasi.
 
Tunataka reforms za vitendo sio maneno. Redorms wakati hutaki kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya
Ukiwa biased hutoziona.

Tanzania ya leo ndiyo uliyokuwa nayo miaka 5 nyuma?

Unaziishi "Reforms" lakini huzioni, nafahamu ni "mentality" ya kitumwa uliyonayo, ya kukaripiwa karipiwa kuanzia unaanza kusoma shule mpaka kazini na bosi wako, kanisani ndiyo usiseme, mchungaji mpaka koo linakauka kwa kukaripia. Ukirudi nyumbani mumeo au mkeo kwa kuwa katokea mazingira hayohayo ya kitumwa , ya kujazwa ujinga, nae anakukaripia. Kwa kuwa umezowea hayo sasa umepata Rais wa vitendo asiyekaripia, hata mabadiliko "Reforms" kubwa anazozifanya na unaziishi lakini sikushangai huzioni.

Tazama tarehe ya hiyo hilo kongamano ukapate darsa la "Reforms" ni nini, kwa ufupi, unatakiwa wewe mwenyewe uanze kuji-"reform" ndipo utakapoziona "Reforms" kwa upana wake.
 
Ndipo kigugumizi Cha kukemea USHOGA na ulawiti kinapoanzia!!

Kwa Mfano unaambiwa, Ili tukupe mkopo huu, hakikisha watoto mashuleni wanafundishwa USHOGA na kupewa vilainishi🤔

Ni Kwa Mfano tu, sasa masharti hayo so Rahisi!!
Kweli kabisa mkuu. Kuna masharti magumu mpaka Rais imebidi apige kelele.
 
Nchi imemshinda, ni kama mfa maji sasa hajui pa kushika. Its very unfortunate tuna kiongozi wa namna hii. Kwanza tumeshajua mwananke kazi yake kupika na kumfurahisha mumewe, hafai kuongoza nchi. 2025 asirudi, tunataka kiongozi anayejua nini anataka ili kuleta maendeleo kwa watu wake, kiongozi bold anayeweza kusimamila rasilimali za nchi, kuondoa wizi na ufisadi uliokithiri nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…