Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Kweli mkuu, hata Mimi namba asigombee mwaka kesho. Atupe mtu mwenye vision Kama Magu, pamoja na madaifu yake mengi.
 
Wabongo hatujui kiswahili,hapo katumia kiswahili fasaha ndo mana hujamuelewa
Basi awe anaweka mtafisiri kila baada ya kuhutubia. Ingawa sioni kiswahili fasaha alichokitumia ambacho kinahitaji fasihi.
 
Kama Nawanda inasemekana alimwambia yule Binti..."Maisha magumu unajitakia mwenyewe " kisha akampatia Bunda la Pesa🤣🤣
haaaaaaaaa haaaaaaaaa haaaaa!
 
Ok, ila kwangu naona tuna wrong president at the right time. Rais anayeita Katiba kijitabu haiwezi kuwa mzuri kwenye good governance.
Si ndivyo inavyokuwa perceived na amesema honestly what she meant? Au kwakua unataka aseme asichoamini?
 
Aiseeeh! Kwa hivyo Rais hajui vichochoro ila Kamishna ndio anajua vichochoro vyote.
Mie nashangaa mnataka msikie Rais akisema uwongo, why? She is honest ila Sasa kama inatakiwa kuwa hivyo au la ndiyo anawaambia tuache hayo
 
Bado tuna mfumo ule ule wa ukoloni
1 class wazungu
2. Waarabu na wahindi
3. Akina matumbi sie...Kwenye nafasi tumebadili tu rangi lakini mawazo yako vilevile
 
Kweli kabisa mkuu
 
bado ccm inaendelea kutuonyesha kwamba hawastahili kurudishwa madarakani ila sisi wananchi tutakaza mafuvu tutawaligia kira hao mafisi na wataendelea kututesa......... naamini tungekua na lile jeshi la 6 kwa ubora saa hizi kuna mtu asingetakiwa aitwe mh. raisi
 
Ile kauli ilinishangaza sana kwakweli. Hata Kama ilikuwa ni sababu asingieweka Waziri kiasi kile. Alimshusha sana Dr Ashatu.
 
Asante great thinker. Kama mikikimikiki ya kariakoo imemshindwa mwanamke, je mikikimikiki ya nchi nzima huyo mwanamke ataiwezaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…