Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Hiyo namba moja naona ni uongo tu, hata Tundu Lissu dalili zinaonyesha ni wao wenyewe kwa maslahi yao wenyewe
 
Napata shida sana kukubaliana na wewe,kama mauaji ya waziwazi yalifanyika kipindi cha mkapa Zanzibar waliuwawa waziwazi watu zaidi ya 25 kipindi cha uchaguzi,kipindi cha Mwinyi waliuawa waislam wengi tu mwembechai,Ya Kikwete na akina ulimboka na Mwangosi aliyeuwawa mbeya na dunia nzima ikaona bila chenga.Ukiniambia Magufuli aliwapiga watu flani mliotoka zone moja mliozoea ubinafsi na wenye roho za visasi ntakubaliana na wewe.Lakini tofauti na kauli zenye ukakasi sijaona ukatili wa mauaji wenye ushahidi wa wazi wazi aliofanya Magufuli ukilinganisha na watangulizi wake.Na mwishoe tukubaliane tu kuwa hawa viongozi huwa wanabeba lawama za watendaji wao wa chini but so far sijaona dictator hii nchi.
 
Kupeleka maendeleo Chato,Dodoma na Dar es Salaam ni kupeleka maendeleo nchi nzima??
 
Wewe ni mmojawapo wa wasiojulikana.
 
Na kuwavunjia nyumba ambao hawakumpigia kura, ila wasukuma wakaachwa kwakuwa walimchagua
 
Kweli usimjibu Mpumbavu sawa na Upumbavu wake....ulichoongea kimebainisha Upambavu yaani umevuka stage ya ujinga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mngekuwa na raisi kama Putin si mngekufa kwa vihoro kabisa!
 
Daaa,ila lissu ana moyo wa paka aisee,risasi moja mtu anakuwa tayari yupo akhera kuimba pambio but yenye risasi lukuki still anasurvive...kweli kama Mungu hajaamua hajaamua tu
Ilikuwa kumdhihirisha shetani jiwe kuwa mwenye mamlaka na uhai wa mtu ni Mungu tu na siyo Rais.
 
Thread ya kijinga kabisa
 
Hiyo namba moja naona ni uongo tu, hata Tundu Lissu dalili zinaonyesha ni wao wenyewe kwa maslahi yao wenyewe
Ulimkamata nani kuhusiana na hilo shambulio la Tundu Lissu na hizo CCCTV Camera alizitoa nani kwenye ulinzi wa kila namna masaa 24 x7 x 30x 365 au 366?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…