Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

TAI DUME kuhusu swala la mkataba kwa NGO upo sahihi Mkuu maana wana kupa mkataba kuanzia mwaka mmoja hadi miwili yani unajikuta unaishi kwenye kipindi cha msongo wa mawazo pale mkataba unapoelekea kuisha pia kwenye NGO kufanya Miradi au biashara zako binafsi ni vigumu maana muda wowote unaweza pokea email unahitajika kwenda mkoa mwengine ivyo usimamizi unakuwa hafifu
 

Umenena vyema [emoji1490].

Wakati wa kuchagua hufika, ila huo wakati hauwi mwanzoni. Ukifika mbele, ndipo uchaguzi huweza kufanyika...
 
Hii get ready for unexpected kwa mtu ambae bado hayajamkuta mambo anaweza asikuelewe.

Baada ya kusema hayo, sasa nitamke rasmi kuwa niko Tayari kwa episode ya 11.
 
Kwann maboss wengi wanapenda kudate na ma PS ushawahi jiuliza n kwann???? [emoji848][emoji848] Au tamaaa 2

Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Mazoea na ukaribu vinashawishi Sana mapenzi mkuu, wanaume tunadata Sana pale mwanamke anapotujali Sana, haijalishi mwonekano wake.

Kuna Zile moments flani ofsini
1. Mara PS kakuandalia chai,
2. mara kakuletea lunch,
3. mara mchuzi umekumwagikia anakufuta na leso haraka,
4. Vile visketi Mara anapekua faili kainama boss umeona upaja,
5. Mmeenda trip, ps ndo anashughulikia na utakapolala.

Na kikawaida PS awez kulala kabla ya boss ajatoa ruksa, so Unaweza mwambia ps abaki chumbani kwako mpige story na asihoji Wala kubishi.

Hapa ndo ndoa nyingi upitia changamoto,maana MKeo ambae Ni ps ofsini atamheshimu Sana boss wake kuliko Wewe mumewe wa ndoa[emoji4]
 
Internship kwa organization nyingi ni ngumu kupata mana kwao ni hasara. Unless ukute wana wafadhili wa kudumu. Experience matter!. Ukutane na ki-ngo kinatumia micro management 😁
 
Ni ngumu kuamini 2015 -2023 , TAI DUME ni jobless ngoja tungoje episode 11 usikute aliukwaa ubillionea wanaenjoi na TAI JIKE viwanja vya miami.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Duuuh! mkuu,mbona jamaa kaelezea vema tu kuhusu yeye kukosa ajira?
Kuna Rais anaitwa JPM alizuia ajira kwa watu wengi na hii ilianza punde tu alipoingia madarakani,na hiyo inajulikana na almost kila mtu.Nakushangaa,ambavyo unamtilia mashaka graduate wa 2015,kukosa ajira hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…