Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Nife na njaa zangu tu, siwezi kujidhalilisha hivyo
Mungu baba naomba umuepushe huyu kijana na “njaa” Mungu najua fika ni kijana mdogo hawezi kujua maana ya njaa na ninakuomba usimpitishe kwenye njaa kamwe…kwa huyu atakufa mapema sana!

Mungu nakuombea huyu umfundishe kwa njia nyingine sio njia ngumu hasa ya kumpa njaa …ni maneno tuu wala haijui njaa bali ana tania tuu!

Amen!
 
Na tuseme Amen.
 
Mdogo mdogo wataingia kwenye mfumo unakataa kazi labda kampuni inakuwa ya wazazi wako
 
Mbele ya Njaa[emoji23][emoji23] hakuna masikini jeuri hiyo ni misemo tu.
 
Tupe tofauti kati ya kujishusha na kujidhalilisha
Kujishusha ni kujinyenyekeza ili uweze kufanikisha mambo flani katika maisha. Hii inasaidia maana wengi waliofanikiwa wanapenda kunyenyekewa so ni rahisi ku linki nao ukiwa mnyenyekevu.

Kujidhalilisha ni kujitoa ufahamu ili kufanikisha mambo katika maisha. Hii ni kwenda extra mile kufanya jambo lolote linaloweza hata kutweza utu wako ilimradi ufurahishe nafsi ya mtu aliyekuzidi ili akusaidie kwa mambo flani katika maisha.
 
Mdogo mdogo wataingia kwenye mfumo unakataa kazi labda kampuni inakuwa ya wazazi wako
Nakumbuka kipindi hicho nilipata mchongo mshahara nusu ya ninaostahili nikapiga karibu mwaka ila boss kuongeza hela hataki ubaya akaongeza na makato. HR nae mbabe balaa anajibu jeurii hatari siku nilipowaambia naacha kazi wakabaki kuuliza shida nini wakati muda mrefu unaomba kuongezewa kitu lakini wapi makampuni kama una impact labda ukiondoka wakikwama watakuita waongeze mshahara ila sio kizembe.
 
Mbele ya Njaa[emoji23][emoji23] hakuna masikini jeuri hiyo ni misemo tu.
Hujakutana na mashine za kazi wewe. Yani unafungiwa vioo mwanzo mwisho kmmmk na hela zako unakaziwa. Unazungumzia njaa 😀???
Mtu anayemsujudia binadamu mwenzie ana matatizo makubwa sana ya akili.

Kama ushasikia asili ya mpare OG ambaye yupo radhi auze ng'ombe kwa kesi ya kuku nikuhakikishie hilo ni ukweli na uhakika.
 
Hii imenifanya nikacheka sana

Alimlipia ada ya semester ya mwisho ila yule jamaa cha moto alikiona maana Dr KJ kwenye kila kipindi alichofundisha kwenye madarasa yake lazima amtolee mfano yule jamaa mpaka mlipiwa ada akawa famous chuo hahahaaa.
 
Hivi ukitukanwa na bosi wako mbele ya watu ukakaa kimya unakuwa umejishusha ama umedhalilika?
 

Daah haso za ajira sio poa, hebu funguka mkuu hadi mwisho
 
Ila kijana hupendezi kukakaa kwenye nyuzi serious kama hizi😀😀😀, sie tunaona bado unaleta masihara yako tu
 
Sio makosa yake hata sisi tumetoka kwenye familia ambazo chakula sio mtihan kabisa lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima tuna familia mambo tunayopitia njaa ni kitu cha kawaida sana kwetu mwambie asimalize maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…