Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Kujishusha ni kujinyenyekeza ili uweze kufanikisha mambo flani katika maisha. Hii inasaidia maana wengi waliofanikiwa wanapenda kunyenyekewa so ni rahisi ku linki nao ukiwa mnyenyekevu.

Kujidhalilisha ni kujitoa ufahamu ili kufanikisha mambo katika maisha. Hii ni kwenda extra mile kufanya jambo lolote linaloweza hata kutweza utu wako ilimradi ufurahishe nafsi ya mtu aliyekuzidi ili akusaidie kwa mambo flani katika maisha.
Kujidhalilisha inaendana na tabia za machawa wanavyofanya
 
Hivi ukitukanwa na bosi wako mbele ya watu ukakaa kimya unakuwa umejishusha ama umedhalilika?
Hapo mzee lazima ujishushe ili ulinde kibarua chako kutukanwa mbona afadhali kufukuzia dem mmoja angali nae boss nae anataka lazima ujishushe uachane nae tu ili ulinde kibarua

Yaani kifupi huko maofisini kunahitaji akili mingi sana unatumwa na boss anakupa 1k ukamnunulie vitumbua vya mia9 huku umevaa suti na urudishe change yake shilingi 100 lazima ujishushe mzee ajira ni ngumu sana ukiwa nje ya ulingo.
 
Emotions intelligence is far more than intelligence quotient aka iq.
Tofautisha Arrogance na emotions intelligence , watu wanaojishusha wanakuaga na emotions intelligence ukiwa na akili Ila hauna emotions intelligence basi huwezi kuwa MTU mwenye mafanikio makubwa maana maisha yanahitaji Sana kiwango kikubwa cha emotions intelligence na sio akili tu
 
Nime verify kuwa unapokuwa na shida ama hardship yoyote Ile brain Ina function at higher energy levels than normal.

Issue nyingine nakusapoti kuwa YouTube Ni zaidi ya Harvard, yaani mtandao ukitumika vizuri unapata degree kibao ama skills ambazo shuleni ama chuoni huwezi fundishwa hata kidogo.

Kuna watu wamesoma biashara na uchumi Ila wanachofanyia kazi Ni ambacho wamepata mtandaoni. Ule Ni msitu zaidi ya misitu ya universe yote combined kimaarifa
 
hapo mzee lazima ujishushe ili ulinde kibarua chako kutukanwa mbona afadhal kufukuzia dem mmoja angali nae boss nae anataka lazima ujishushe uachane nae tu ili ulinde kibarua

yan kifup huko maofisin kuna hitaji akili mingi sana unatumwa na boss anakupa 1k ukamnunulie vitumbua vya mia9 huku umevaa suti na urudishe change yake shilingi 100 lazima ujishushe mzee ajira ni ngumu sana ukiwa nje ya ulingo
🤣🤣
 
Tofautisha Arrogance na emotions intelligence , watu wanaojishusha wanakuaga na emotions intelligence ukiwa na akili Ila hauna emotions intelligence basi huwezi kuwa MTU mwenye mafanikio makubwa maana maisha yanahitaji Sana kiwango kikubwa cha emotions intelligence na sio akili tu
Umemjibu kitalaamu sana mwamba anaonekana ni wale intolerable egomaniac
 
EPISODE 3: I learnt how to be proactive and beliving in myself in handling difficult situations.

Kwakweli nimeshindwa kupata Kiswahili fasaha cha heading hapo juu ila kuna situation unaweza kutana nazo katika mazingira ya kazi yakapelekea either uwepo wako uonekane una positive impact au ni mzigo tu. Hayo mimi yalinikuta nikiwa na mwezi mmoja tu pale ofsini chini ya Dr KJ the boss.

Nakumbuka ilikuwa ni tarehe za wafanyakazi wa pale ofsini kulipwa mishahara na mimi nilikuwa almost nakaribia mwezi pale ofsini. Boss alikuwa na utaratibu wa kwenda nao benki wafanyakazi wote na baada ya kutoa cash kila mtu alipewa chake then tunatawanyika, sikukuta mtindo wa kuwekewa pesa benki. Yaani wote mnaenda benki, mnapewa chenu kisha mnasepa na maranyingi mshahara alikuwa anaotoa tar 23. Siku hiyo ilikuwa Alhamis.

Mpaka tarehe ya mshara inafika mimi sijui nitalipwa kiasi gani. Nikasema leo ngoja nione basi tukafika mpaka benki then kila mtu akapewa bahasha yake. Kile kibahasha nilipokikadiria kilikuwa na uzito sawa tuu na alichopewa yule PS, cha mhasbu kilikuwa kimejaa zaidi ya wote pale huku yule dereva akiburuza mkia. Nikatia kibunda change mfukoni nikatawanyika mpaka magetoni. Kufika home cha kwanza ilikuwa ni kuhesabu ile cash aisee kiukweli haikuwa haba japo haikufika six digits. Kujiridhisha nikampigia Mhasibu nikavunga kutaka kujua kama hapo makato ya serikali na NSSF yamekatwa, akaniambia kaka Taidume kwa sasa wewe chukua tu hiyo pesa usiwaze. Nikataka kujua kama iyo ni salalry au posho akaniambia kwa mimi ile ni posho maana sijaingizwa kwenye mfumo wa salary mpaka nitakapomaliza probation. Nikaona afadhali kumbe kuna uwezekano kasalali kakawa hata six figures.

Ijumaa wakati naendelea na majukumu yangu kama kawaida mara boss akaniita na akaniambia anategemea kusafiri hivyo kwa siku tatu kwenda Arusha kwa mambo yake hivyo akanipa majukumu mawili matatu niyasimamie wakati yeye hayupo. Pia akania next week pale ofisini tutapata ugeni (one among the key and prominent donor wa project za pale ofsini) kutoka Ulaya. Hao wageni wanakuja kufanya evaluation nna kuangalia namna funding zao zilivyofanya kazi na wangetembelea baadhi ya field areas ili kucollect achievement stories. So akanitaka niandae walau sehemu tatu za vijijini huko tunakofanya miradi na kuwataarifu beneficiaries ili maandalizi yaanze. Yeye alisema atawahi kurudi kwamba angeondoka Kesho yake Jumamos, Jumatatu angerudi by Jumanne angekuwa Ofsini. Ratiba ya wageni ilionesha wangekuja kufanya evaluation yao Alhamis ya wiki inayofata na Ijumaa na Jumamosi ni kwenda Field. Tukakubaliana hivyo.

Kumbe bhana bosi alikuwa anaenda zake zake Samunge kwenye kikombe cha babu nae ni mmoja walioamini kombe la upako la babu lingeweza kutibu maradhi yake. Hili nilifahamu kupitia PS kwani aliniambia ofisini kwa wengine ofisini ameaga jumatatu atampelekea mtoto wake hospitali lkn ni anamsindikiza boss kunywa kikombe cha babu. Nikamtania tu naona PS unafanya kazi yako vizuri sana basi tukacheka pale tukaagana. Kumbuka boss japo alikuwa anakuja kazini lakini kiukweli afya yake ilikuwa dhoofu sana na most of his responsibilities nilikuwa nazicover mm.

Jumatatu mimi niliendelea na majukumu yangu kikubwa ilikuwa ni maandalizi ya wageni na siku hiyo ofisini nilikuwa peke baada ya dereva, boss na PS wake kusafiri yule Muhasibu naye alitengeneza excuses anazozijua yeye mwenyewe so hakuja. Jumanne mpaka mchana boss na PS wake hawajafika ofisini, nikasema jioni nikitoka nitamcall dereva nijue wamerudi au lah. Kupiga namba ya dereva haipatikani, nikajaribu tena na tena ikawa hola. Nikajaribu kumpigie PS nae hapatikani vivo hivo kwa boss, wote hawapatikani. Mpaka naingia ofsini Jumatano hakuna anayepatikana. Yule Mhasibu alikuwa hana interest nao kwakweli kwa hiyo mpaka mimi nilipomwambia hawapatikani wote siku ya pili leo ndio na yeye kuanza kuwatafuta. Ikawa hawapatikani.

Tukajiuliza wamekumbwa na masaibu gani, ila sasa kipindi kile kule Samunge kulikuwa na foleni kubwa sana na kama mankumbuka mafuriko yale ya foleni ilipelekea watu kukwama njiani hata wiki na hakukua na mawasiliano ya simu, ndio hata mawaziri wengi akiwemo waziri wa ujenzi kipindi kile (RIP Mwamba) walitumia chopa. Basi maboss zangu nao walikuwa trapped on the same situation. Wamekwama njiani foleni haiendi wala hairudi, simu hakuna mawasiliano na walikuwa sehemu ambayo hata huduma za msingi kama chakula, malazi na maji ilikuwa shida. Yule dada mhasibu hakujua kama wameenda Samunge na mimi sikutaka kumwambia kwani wenyewe hawakuaga hivyo.

Sasa mimi tension yangu ilikuwa kwa donors ambao wanakuja maana kwenye ile ofisi boss KJ alikuwa ndio kila kitu kwenye kutoa updates na mm nilikuta wale donors fund zao zimeoperate karibia miaka miwili na nusu so wamekuja kufanya kitu kinaitwa midterm project evaluation. Nikawaza nikasema hapa lazima nifanye kitu ili kuokoa jahazi na pengine inakuwa kuwa ndio best opportunity for me to show my problem solving skills in difficult and challenging sitauations.

Basi nikamuuliza mhasibu kama ana access ya email ya boss ili tuone kama kuna updates zozote kutoka kwa wale wageni. Maana hiyo ilikuwa ni Jumatano asubuhi na kesho asubuhi ndio watakuwepo ofsini, maana pia walitegemewa kupokelewa eapoti na gari la ofisi. Dada mhasibu akajibu hana access na email ya boss, huku na huku nikamwambia kwani yeye kama muhasibu si ameshawahi kuwasiliana na watu wafinance upande wa Donor hususani maswala ya financial repors au updates. Akajibu anakumbuka amewahi kuwasiliana nao so tukatafuta hiyo email tukaipata.

Ikabidi mimi niconstruct email ya kumuomba emails za watu wanaotoka Ulaya kuja Tanzania kwa ajili ya evaluation. Hiyo ilikuwa kama saa sita mchana. Bahati nzuri yule jamaa wa finance naye alikuwa ni sehemu ya wanokuja kufanya evaluation na muda huo walikuwa wameshawasii Tanzania maana waliingia alfajiri sana ya Jumatano hiyo hiyo na muda huo walikuwa wamehsafika hotelini kwa kukodi tax. Basi nikampa namba yangu ya simu kwenye email na baada ya muda akanipigia mdada mzungu ambaye ndie alikuwa team leader wao. Kiufupi walikuwa wanatuma emails kwa boss tangu Jumatatu na walikuwa hawapati response yoyote. Kuna vitu walivyokuwa wanavitaka na hasa logistics za hapa Tanzania watafika hotel, ofsini nk ila walipoona kimya wakajiongeza wakafanikiwa kufika hotel ila hawakujua kesho wanakuja vipi pale ofisini. Basi nikamuomba anifoadie hizo email corresponses ili niendelee kuzifanyia kazi.

Mimi ikabidi nijiongeze nikawaomba samahani kuubwa sana na kuwaongopea kwamba boss alipata msiba kijijini kwao na aliondoka weekend kwa matarajio kwamba angerudi Jumatatu. Nikawapa pale blabla za unajua vijiji vya Tanzania hakuna mawasiliano ya simu na ni mbali kwelikweli. Hivyo kwa dharura hiyo I will be taking a lead. Uzuri wakaelewa wao wanachotaka ni updates za kazi sio kumkuta nani ofsini. Tukaagana kwa makubaliano kwamba ratiba ina baki ile ile no mabadiliko.

Sasa tukaanza kuumiza kichwa na mhasibu pale, ubaya kwamba yule muhasibu alikuwa hajui chochote kuhusu implementation za project ile sijajua kwa nini wakati yeye ndio alikuwa anaahold program budget. Nilichomwambia ni kwamba anipe financial report ya ile program ambapo angalau nikaweza kujua kipi kimefanyika so far kwa maana activity gani pesa ilitoka. Lakini pia ikabidi niingie kwenye mafaili kuanza kutafuta reports mbali mbali nilifanikiwa kupata in details kipi kimefanyiak. Nikajisemea mbona hawa nitawamudu tu at zile key points ninazo. Kingine nikamwomba mhasibu ampigie mama mmoja hivi ambae alikuwa ni member wa bodi nilimfahamu kwa sababu alikuwa amewahi kuja pale ofsini kama mara mbili hivi na niliona boss alimpa kazi ya kweda kupresent kwenye mkuta kwa niaba yake, niliona huyu anaweza kutujoin na kuongeza nguvu. Alipopigiwa nilimpa situation yetu akasema atakuja na mzee mwingine memba wa bodi pia ambae nae ni wa siku nyingi na anaijua miradi ya pale. Mpaka hapo nikaona hii ngoma tunaenda kotoboa.

Kwa kule field ikabidi niwapange wale trainees wangu wa Kilindi na Handeni ili wajiandae maana nao kama beneficiaries wanakuwa na sehemu yao. Niliamua kuwapeleka Kilindi na Handeni kwa sababu nilishiriki ile activity na ingekuwa rahisi kwangu kutoa majibu ya kuridhisha. Sasa ngoma ikawa fedha maana tunatoaje fedha bila approval ya boss na yule mhasibu alikuwa strict sana kwenye hizo taratibu. Maana wale wageni ilipaswa kukodi noa ya kutupeleka na kuturudisha dar lkn pia logistics za hapa mjini kwa wageni. Ikabidi nimpigie yule mama member wa bodi ambaye pia alikuwa ni signatory akakubali fedha itolewe ya kufacilitate hilo maana hao ndio wanaoleta pesa sasa kushindwa kuwapeleka site italeta picha mbaya, kwanza boss hayupo si itaonekana tunawakwepa? Mwisho wa siku mzigo ukatolewa wa kutosha.

Basi Alhamisi yake wageni nikawatumia usafiri wakafatwa na kuletwa ofisini, nashukuru Mungu kikao nilikiongoza vizuri na kilienda vizuri sana. Wale board members walisaidia kutoa ufafanuzi to rescue the situation. Then kesho yake tukaondoka nikiwa kiongozi wa msafara, pamoja na member wa board mmoja, muhasibu pamoja na wageni wetu wanne kwenda field. Kiufupi wale wageni walifurahi sana. Over the weekend wakawa wamerudi zao kwao by Jumatatu wakanitumia report yao ambayo ilikuwa nzuri tu kwetu. Kiufupi walikuwa very impressive na implementation ya projects na feedback tuliyowapa. Na walijicommitt kuongeza funding ili kufukia fukia magape ambayo yalihitaji more funding dadeki. It was a big experience for me and I was very proud of myself kwa kuhandle ile situation. Tuliposoma ile report na yule mhasibu pale ofisini tulipiga kelele za furaha utafikiri machizi.

Ilipofika Jumatano usiku kwenye saa 4 usiku hivi nikiwa nipo pahala nafatilia boli chama langu the gunners mara naona simu ya bosi inaita kwa fujo. Nikasogea pembeni kupokea maana mimi huwa napenda kucheki boli sehemu zenye vibe sana, ile kupokea boss akawa anaiuliza maswali mfululizo yasiyo pangiliwa vizuri kutaja kujua kama wageni walija? Walisemaje? Wameondoka? Wapo wapi? Yaani anauliza maswali sijajibu hata moja yeye ameshauliza kumi. Nikamwambia boss calm down ukitulia nipigie nikueleze vizuri nikawa namsikia anahemea juu juu simu yake ikakatika.

Kidogo PS wake ananipigia ndo kuniambia kwamba wamefika sehemu ambayo angalau kuna network na bosi alipanda kwenye kilima kidogo ili kupata network nzuri. Akaniambia yaani boss amejuta kwenda kwa babu maana walinasa njiani kwa siku mbili katikati ya safari wakilala kwenye gari. Akanipa pale situation yakule ilivokuwa worse ila chazaidi boss kilichomchanganya ni hao wageni. Mara kidogo nikasikia sauti ya boss kwa mbali inamwambie muulize wageni walikua. Basi nikatoa mrejesho wote jinsi ilivokuwa na jinsi walivoturecommend kwenye ile report yao angalau boss mcheche ukamuisha kabisa. Boss akaniomba nimfoadie ile report maana hakuiona kwenye email yake, na mm nikakumbuka kwamba wale wazungu ile report walinitumia mimi tu hawakumcopy mtu mwingine – sijui ilikuwaje lakini haikua kesi.

Basi ijumaa yake asubuhi sana boss aliwahi sana ofsini ili kufanya kikao na sisi na ile pia nimpe full picture. Kiukweli alikuwa ameedhoofika gafla sana sasa sjui sababu ya shurba za njiani kwenda kule kwa babu au mambo mengine. Basi nikatakiwa nitoe mrejesho pale na kwa mara kwanza nikaona tabasamu la boss ofisini. Aliisoma ile report ya wazungu mara mbili mbili. Na hapo hapo akaniuliza kama mkataba wangu wa kazi nilishasaini nikamwaba bado. Akaniuliza kwa nini nikamwambia bado sikuuelewa kwahiyo nilikuwa nasubiri muda mwafaka wa mimi nayeye kujadili vipengere ambavyo sijavielewa. Basi akawaruhusu wengine watoke nje mimi nayeye tukabaki. Akanitaka nimweleze kingere ambacho sikukielewa. Nikamwambia mwanzo nilikuwa nataka anieleweshe majukumu yangu lkn nashkuru kwa sasa nimeyaelewa ila kipengere cha remuneration hakipo kwenye mkataba. Akaniambia alikiacha makusudi kwa sababu hakuwa na uhakika wa anilipe kiasi gani kwani yeye analipa kutokana na utendaji kazi wa mtu. Pale pale akaniambia kutokana na utendaji wako kwanza nakuandikia barua ya kumaliza probation period na nitakulipa nusu ya mshahara wangu. Nilikuwa siju boss analipwa sh ngapi nikajisemea cha muhimu ni angalau kufikisha 6 figures bhana kwenye cheque – hahaaa. Basi niakprintiwa mkataba mwingine pale nikaanguka signature bila kuwaza.

NB:[/B] Wakuu bado nasisitiza naandika uzi huu ili kushea yale niliyopitia na kujifunza katika mlolongo wa mambo mengi kwenye harakati zangu za kuajiriwa sehemu mbali nikiamini yanaweza kuwa na faida kwa wengine.

So far sina ajira kwa muda wa mwaka sasa na mimi nipo kwenye kundi la wanaosaka ajira. Kama kuna mdau ana connection kulingana na uzoefu, skills na knowledge yangu tunaweza kuwasiliana maana huku mtaani sio poa. Kwa sasa inaweza kuwa mapema kujua skills na experience nilizo nazo tuendelee kuwa pamoja huko mbele kuna uzoefu mwingi zaidi. Mpaka sasa nimeshea uzoefu niliopata katika ajira yangu moja tu wakati zipo tatu zaidi nilizopanga kushea nanyi.

Muendelezo soma Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa
 
TUKUTANE USIKU WA LEO.

NB:
Wakuu bado nasisitiza naandika uzi huu ili kushea yale niliyopitia na kujifunza katika mlolongo wa mambo mengi kwenye harakati zangu za kuajiriwa sehemu mbali nikiamini yanaweza kuwa na faida kwa wengine.

So far sina ajira kwa muda wa mwaka sasa na mimi nipo kwenye kundi la wanaosaka ajira. Kama kuna mdau ana connection kulingana na uzoefu, skills na knowledge yangu tunaweza kuwasiliana maana huku mtaani sio poa. Kwa sasa inaweza kuwa mapema kujua skills na experience nilizo nazo tuendelee kuwa pamoja huko mbele kuna uzoefu mwingi zaidi. Mpaka sasa nimeshea uzoefu niliopata katika ajira yangu moja tu wakati zipo tatu zaidi nilizopanga kushea nanyi.
Wewe ni ajira tayari hupaswi kuajiriwa maana umepitiliza vigezo.

Hebu acha utani uanzishe kampuni....🤔🤔🤔
 
ila nadhan mwandishi hujui six figures ni kiasi gani. nahisi nikikupa 1m utasema ni six figure
 
Back
Top Bottom