Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

Umenena vyema kabisa huduma za watu hawa ni muhimu sio lazima kwa mwanzoni uwe nao full time lakini kuwa nao katika ushauri hasa maswala ya kodi na mengineyo huwezi kuwaweka kando.

Ukiingia kichwa kichwa kweny hzi kampuni unaweza filisiwa walahi daaaah!

Hapo kuna haja ya kuwa na mwanasheria na mhasibu, full stop
 
Hili swala la EFD nalo ni muhimu kupewa nafasi yake maana nalo faini yake ni kali kwa kutokuwa nayo tu.
 
Yes ukishakuwa limited company unatakiwa kuwa na vitabu vilivyokaguliwa (audited financial) kila mwaka na kuwasilishwa TRA kabla au miezi sita baada ya kufunga hesabu kwa makampuni mengi ni tarehe 30/06 ya kila mwaka
 
Mkuu Nyumbalao naomba ufafanuzi kuhusu tarehe ya mwisho ya kuwasilisha return za VAT kwa kila mwezi, maana kuna jamaa amekwenda kutafuta Tax Clearance wakampa bill ya penalty ya zaidi ya mil 11 sababu alichelewesha returns
 
Yap kwa sasa ni tarehe 20 baada ya mwezi kuuisha yaani kabla au kwenye tarehe hiyo inabidi ufile hiya marejesho (returns) halafu kama unadaiwa basi unalipa kabisa kwahiyo kwa urahisi file kwenye tarehe 15 halafu kama unatakiwa kulipa basi by tareh 20 utakuwa umeshaweza kulipa.
Ahsante

Mkuu Nyumbalao naomba ufafanuzi kuhusu tarehe ya mwisho ya kuwasilisha return za VAT kwa kila mwezi, maana kuna jamaa amekwenda kutafuta Tax Clearance wakampa bill ya penalty ya zaidi ya mil 11 sababu alichelewesha returns
 
Faini ya kutopeleka returns kwa sasa ndio hiyo Tshs 225,000/ kwa kila mwezi uliochelewa
 
Tukishirikishana yale tunayoyajua au kufanya tunasaidia wengi sana kama ambavyo kitabu ninachokisoma sasa kinanieleze kuwa kuna elimu ya darasani na elimu ya mtaani tukichanganya hizi mbili tutafika mahali.

Ahsante sana Mkuu Nyumbalao kwa kutoa elimu bure, Mungu akubariki Zaidi na tuombe waweze kutokea wengi kama wewe!
 
Mkuu Nyumbalao,
Elimu ya darasani na elimu ya mtaani kuzichanganya hizi mbili nahisi ni kazi ngumu kidogo-nionavyo.
Ndio maana wengi hatulioni na hatufanikiwi kwa haraka kufika mbali au unashangaa huyu kwa nini haoni hii elimu yake ya darasani anavyoiweka mtaani, huu mchanganyiko wake si sawa.
 
Ki ukweli elimu ya darasani inaleta full impact kwenye maisha yako unapoichanganya kwenye uhalisia na inaleta satisfaction ya hali ya juu. Na nimejua kuwa tunalipwa kwa kusolve matatizo na haya matatizo yako huku mtaani ndiko kuliko na fursa. Si rahisi kama unavyosema ila watu wote wanajua kulipo na asali kuna nyuki. Ni kazi ya mrina asali kupambana na nyuki apate kitu kitamu.

Mkuu Nyumbalao,
Elimu ya darasani na elimu ya mtaani kuzichanganya hizi mbili nahisi ni kazi ngumu kidogo-nionavyo.
Ndio maana wengi hatulioni na hatufanikiwi kwa haraka kufika mbali au unashangaa huyu kwa nini haoni hii elimu yake ya darasani anavyoiweka mtaani, huu mchanganyiko wake si sawa.
 
Nitajibu kwa kubadilisha swali kidogo kwamba hiyo retail sale unamaanisha Sole proprietor ukilinganisha na Kampuni. Kimsingi kodi za mapato hutozwa kutokana na faida ( Yaani mapato kutoa Matumizi) na kimsingi kwa sole proprietor ina makundi mbalimbali mpaka la juu ni 25% wakati kw kampuni faida kodi ni 30%. Ahsante

kwa hiyo mkuu retail sales na kampuni ni ipi ina kodi kubwa kwa mwaka
 
kufanikiwa na kukua zaidi, ni pale unapotoa kile ulichonacho kwa jamii yako.
mwalimu wangu mmoja wa maswala ya project write up, alinambia kwanini watz wengi hatufanikiwi san kwenye biashara zetu, ni kwasababu wengi ni wachoyo na wenye roho mbaya.hawapo tayari kukupa njia au siri ya mafanikio yao.
mkuu asante sana na ubarikiwe kwenye biashara zako.
 
Amen nashukuru sana kwa comment zako katika kusoma kwangu na exposure ya maswala ya ushauri wa biashara niliyo bahatika kuipata sehemu mbalimbali dunia sijao tajiri yoyote duniani so far aliyefanikiwa kwa kuwa peke yake . Kuna nguvu ya ajabu unaposhare jambo na vilevile unapowasaidia watu hakika ndio maana walio matajiri siku zote wana watu wanaowaombea maana kila mtu anaombea kazi yake na indirect anamuombea mwenye kampuni.

Back
Top Bottom