- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mzeeSafii ahsante mkaruka
Habari mzee
Naomba uniPM na shida binafsi ya kiushuri kama hutojali,plz!!
Ukiingia kichwa kichwa kweny hzi kampuni unaweza filisiwa walahi daaaah!
Hapo kuna haja ya kuwa na mwanasheria na mhasibu, full stop
Mkuu Nyumbalao naomba ufafanuzi kuhusu tarehe ya mwisho ya kuwasilisha return za VAT kwa kila mwezi, maana kuna jamaa amekwenda kutafuta Tax Clearance wakampa bill ya penalty ya zaidi ya mil 11 sababu alichelewesha returns
Ahsante sana Mkuu Nyumbalao kwa kutoa elimu bure, Mungu akubariki Zaidi na tuombe waweze kutokea wengi kama wewe!
Mkuu Nyumbalao,
Elimu ya darasani na elimu ya mtaani kuzichanganya hizi mbili nahisi ni kazi ngumu kidogo-nionavyo.
Ndio maana wengi hatulioni na hatufanikiwi kwa haraka kufika mbali au unashangaa huyu kwa nini haoni hii elimu yake ya darasani anavyoiweka mtaani, huu mchanganyiko wake si sawa.
kwa hiyo mkuu retail sales na kampuni ni ipi ina kodi kubwa kwa mwaka
kufanikiwa na kukua zaidi, ni pale unapotoa kile ulichonacho kwa jamii yako.
mwalimu wangu mmoja wa maswala ya project write up, alinambia kwanini watz wengi hatufanikiwi san kwenye biashara zetu, ni kwasababu wengi ni wachoyo na wenye roho mbaya.hawapo tayari kukupa njia au siri ya mafanikio yao.
mkuu asante sana na ubarikiwe kwenye biashara zako.