Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

No contradiction mkuu hapo just maelezo zaidi ya hiyo aya ya kuoa ndo maana huwa nawashangaa wanaosema wanapenda kuoa wake wengi..

Mimi Kwenye dini sasa hivi nilishajitoa huko..
Unakuwa umejifungia kwenye Kibox
Amekuruhusu kuoa wake wengi, kisha akasema huwezi, huoni kuwa amekuruhusu halafu akakuzuia?

Is that not a contradiction?
 
Umeniacha haunitaki.....miezi mitatu niondoke, ila hizi wiki mbili naenda enda sokoni nakutana na mtu kanielewa nammie naona namuelewa, nakuaga sasa hairuhusiwi???
Ukiwa kwenye Eda bafo unakuwa chini ya Amri ya Mumeo unaachika pale tu ukiwa Umekamilisha Eda ya miezi minne (Hedhi 3)

Screenshot_20240320_204558_Quran Swahili.jpg

Screenshot_20240320_204320_Quran Swahili.jpg
 
Wao wanaona ni mwezi mtukufu tu, kuna watu nawaona ulevi, matusi wamestop ila mwezi ukiisha wanarudi kule kule, huku ndio kujidanganya kwenyewe.
Na haiatakiwi, tumefaradhishiwa swala 5 kila siku, kufunga Ramadhan, kutoa zakka na sadaka na kuhiji kwa mwenye uwezo...tumekatazwa ulevi, kamari, kusema uongo, kufitini, kuambiana maneno mabaya, kuzini n.k kwa hio kwa anaefanya haya Ramadhan na baada ya Ramadhan akayawacha basi anaidanganya nafsi yake.
Wala sivyo alivyoamrishwa na Mola wake

Ila kumshinda SHETANI na visa vyake ukiwa Dar ni mtihani kwa kweli 😉
 
Ukitizama eda ipo makusudi kumfanya mwanamke na mwanaume wasiachane.

Kwenye uislamu mume na mke kutengana according to their beliefs huwa mbingu na ardhi zinatetemeka... Sijui ni kweli kwa maana hizi hadithi mi nazisikia kwenye vijiwe vya alkasusu mujarab.
yah iko hivyo na sababu nyingine ya kukaa eda ni kutizamia mwanamke asije kuwa anaondoka akiwa na ujauzito wako akenda kumpa mtu mwingine kimakosa
 
Back
Top Bottom