Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Miezi 4 na siku 10 eda ya kufiwa na mume, ya kuachana talaka ni miezi 3 na siku 10miezi 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi 4 na siku 10 eda ya kufiwa na mume, ya kuachana talaka ni miezi 3 na siku 10miezi 4
uko sahihiMiezi 4 na siku 10 eda ya kufiwa na mume, ya kuachana talaka ni miezi 3 na siku 10
Kutoboa eda ni kazi hasa ukikuta mwanamke anakupa mitego, watoto wenyewe ndio hawa wamefundwa, wallah hutoboi lazima utupe taulo kukubali pambano limekushinda.yah iko hivyo na sababu nyingine ya kukaa eda ni kutizamia mwanamke asije kuwa anaondoka akiwa na ujauzito wako akenda kumpa mtu mwingine kimakosa
It's a contradiction! Unapewa ruhusa ya kitu ambacho masharti yake hauwezi kutimiza ili uweze kuhesabiwa haki.Amekuruhusu kuoa wake wengi, kisha akasema huwezi, huoni kuwa amekuruhusu halafu akakuzuia?
Is that not a contradiction?
Hao ni wangapi kati ya milioni sitini (60), vipi wewe utakuwa mmoja wao??Hoja ya kuokoa gharama haina mashiko, kuna watu wanapenda mazishi yao yawe ya kifahari na yatumie gharama.
hahah htar tupuKutoboa eda ni kazi hasa ukikuta mwanamke anakupa mitego, watoto wenyewe ndio hawa wamefundwa, wallah hutoboi lazima utupe taulo kukubali pambano limekushinda.
Wengi hawayaishi hayo mnayofundishwa.Na haiatakiwi, tumefaradhishiwa swala 5 kila siku, kufunga Ramadhan, kutoa zakka na sadaka na kuhiji kwa mwenye uwezo...tumekatazwa ulevi, kamari, kusema uongo, kufitini, kuambiana maneno mabaya, kuzini n.k kwa hio kwa anaefanya haya Ramadhan na baada ya Ramadhan akayawacha basi anaidanganya nafsi yake.
Wala sivyo alivyoamrishwa na Mola wake
Ila kumshinda SHETANI na visa vyake ukiwa Dar ni mtihani kwa kweli 😉
Hapo unakuwa huli mzigo?Miezi 4 na siku 10 eda ya kufiwa na mume, ya kuachana talaka ni miezi 3 na siku 10
naomba nitetee hizo hoja.6. Kuvaa nguo na kujilinganisha na waarabu (ukifanana na muarabu zaidi ndio Mungu anakupenda zaidi)
7. Kubadilisha lugha ya kiswahili ili uonekane mwarabu (mnyaazi mungu)
8. Kudhani Mungu hajui lugha nyingine (nadhani atakuwa anajua kiarabu pekee)
9. Kwenda kutalii uarabuni maana Mungu ndiko aliko
10. Kuabudu kwa kuelekea uarabuni, maana ndipo Mungu alipo.
Nimelificha katikatiUmesahau tu kuliweka namba 1
Umesahau na kutimiza ile amri ya kuswali kila saa maana hatujui siku atakayo kuja mwana kondoo kama tunavyo fundishwa kwenye ukiristo halafu hatutimizi,tume kalili j,pili j,mamos pekee.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Kuharakisha maziko.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Sijaona hoja yako, mimi siyo tajiri ila kwny msiba wangu nauwezo wa kuchinja ng'ombe sita watu wakae wiki nzima wale wafurahi.Hao ni wangapi kati ya milioni sitini (60), vipi wewe utakuwa mmoja wao??
Naomba unipe faida ya kuzikwa kifahari??
Huyu ni tajiri na haya ni mazishi yake!
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum’s financial stature is nothing short of remarkable. According to Celebrity Net Worth and South China Morning Post, his net worth ranges between $14 billion to $18 billion (approximately between Rs 1.1 lakh crore to Rs 1.4 lakh crore).
View attachment 2940340
Hili ni kaburi lake!
View attachment 2940341
Lete utajiri wako tuone!
10-kuzikwa,kuchinja kuelekea kibra(arabuni)6. Kuvaa nguo na kujilinganisha na waarabu (ukifanana na muarabu zaidi ndio Mungu anakupenda zaidi)
7. Kubadilisha lugha ya kiswahili ili uonekane mwarabu (mnyaazi mungu)
8. Kudhani Mungu hajui lugha nyingine (nadhani atakuwa anajua kiarabu pekee)
9. Kwenda kutalii uarabuni maana Mungu ndiko aliko
10. Kuabudu kwa kuelekea uarabuni, maana ndipo Mungu alipo.
13. Uislam umekataza usionewe, kudhulumu wala kudhulumiwa10-kuzikwa,kuchinja kuelekea kibra(arabuni)
11-kuamini vyakula vya kiarabu nì bora kuliko vyetu sisi wabantu na vingine kuviteka mfano wali( cha mtume)
12-Usafi kuzingatiwa wakati wa ngono na swala tu
****mambo ni mengi na ajabu wanaosilimu kufuata huu upuuzi ni wengi mno!
Utani wa ngumi huuHuwezi kuondoka mpaka umalize Eda miezi minne kama sio mitano kama sijasahau..
Kwahyo utapika nyumbani Na atakuhudumia ila kulala kitanda kimoja no