Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

No contradiction mkuu hapo just maelezo zaidi ya hiyo aya ya kuoa ndo maana huwa nawashangaa wanaosema wanapenda kuoa wake wengi..

Mimi Kwenye dini sasa hivi nilishajitoa huko..
Unakuwa umejifungia kwenye Kibox
Amekuruhusu kuoa wake wengi, kisha akasema huwezi, huoni kuwa amekuruhusu halafu akakuzuia?

Is that not a contradiction?
 
Wao wanaona ni mwezi mtukufu tu, kuna watu nawaona ulevi, matusi wamestop ila mwezi ukiisha wanarudi kule kule, huku ndio kujidanganya kwenyewe.
Na haiatakiwi, tumefaradhishiwa swala 5 kila siku, kufunga Ramadhan, kutoa zakka na sadaka na kuhiji kwa mwenye uwezo...tumekatazwa ulevi, kamari, kusema uongo, kufitini, kuambiana maneno mabaya, kuzini n.k kwa hio kwa anaefanya haya Ramadhan na baada ya Ramadhan akayawacha basi anaidanganya nafsi yake.
Wala sivyo alivyoamrishwa na Mola wake

Ila kumshinda SHETANI na visa vyake ukiwa Dar ni mtihani kwa kweli 😉
 
yah iko hivyo na sababu nyingine ya kukaa eda ni kutizamia mwanamke asije kuwa anaondoka akiwa na ujauzito wako akenda kumpa mtu mwingine kimakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…