Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile