Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
 
Aisee huu msalaba ni wako pambana nao mpaka golgotha mkuu.
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Nimekuelewa sana mkuu
 
Ukiona unadanganywa chukua hatua mapema sana tena sanaaaa
 
Kuna vitu sio vya kupuuza kikweli wakati wa uchumba ukiviona kwa mchumba wako
(1)Tabia ya kusema uongo
(2)Matumizi mabaya ya pesa
(3)Wivu uliopitiliza
(4)Cheating
(5)Anayeonyesha kutowapenda ndugu zako
(6)Single maza
(7)Tabia ya kutukana matusi au kupiga akiwa amekasirika
(8)Mpenda starehe
(9)Mvivu asiyetaka kujishughulisha
(10)Asiye na hofu ya Mungu
 
Huyu mwanamke nilikua najiona kama najilazimisha kua nae ila sijui ni nini kilichokua kama kinaniforce kuwa nae, kwanza alikua anapenda kudanganya vitu vodogo vidogo, nikimuangalia naona kabisa hafai kuwa na mimi ila sasa sijui shida nini mpaka tukafika mbali, nilipaswa hufikia mwisho kipindi ile kile
Itaendelea?
 
Pole sanaa mkuu... kiukweli yaliyo kukuta wewe ndo yananikuta mimi yan natamani hata nimuache lkn tusha fika kwao na Mpunga tulitoa yan natamani nimuache sijui nianzie wap yan mwanamke hataki kula ugali dagaa, hataki kula mboga za majani mda mwingine hataki kupika anasimgizia anaumwa ... naombeni msaada na mimi jamani
 
Ruger anakuimbia hapa 👇.

You saw the red flags baby but you ignored the red flags
Now you're here, baby you con dey vex
See I can't change, baby you better rest or you end this now 🎶🎼🎵🎤
 
Back
Top Bottom