Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Hakuna na hakujawahi kuwa na Twiga mweupe Tanzania. Wajinga ndo wanaamini hizi story za kusadikika.
Tarangire mkuu, ila huyu ni zeruzeru😁
1734854783502.jpg
 
Mngekuwa mmewahi kumfuatioia Huyu Dereva mkongwe msingekuwa mnapata shida na huu uzi wake huyu ni moja wa madereva wa kitambo sana kwenye safari za masafa marefu na sasa kabarikiwa anaishi nje ya nchi kwa kazi hii.

Mfuatilieni nyuzi zake sio kipa kitu ni chai humu
Mkuu, wala sina shida na ukongwe wake, nisome vizuri nilichokielezea. Hivi mzazi wako sababu tu yeye ni mkongwe inawezekana akikwambia wewe ni wa kike na wewe ukakubali , halafu ukaanza kuwa wa kike kweli sababu mzazi ndiye amesema hivyo.
 
Mkuu, wala sina shida ukongwe wake, nisome vizuri nilichokielezea. Hivi mzazi wako sababu tu yeye ni mkongwe inawezekana akikwambia wewe ni wa kike na wewe ukakubali , halafu ukaanza kuwa wa kike kweli sababu mzazi ndiye amesema hivyo.
Hilo eneo umeliona.? Nimekutumia picha hapo. Wakati mwingine ili kujihakikishia mambo pita google kimya kimya.

Yawezekana kakosea spelliing ila hilo eneo lipo na ni forest reserve kama ambavyo nimeshare na wewe hapo
 
Hilo eneo umeliona.? Nimekutumia picha hapo. Wakati mwingine ili kujihakikishia mambo pita google kimya kimya.

Yawezekana kakosea spelliing ila hilo eneo lipo na ni game reserve kama ambavyo nimeshare na wewe hapo
Mkuu, siyo kila kilichopo mtandaoni ni taarifa sahihi. Unajua idadi ya mapori yaliyopo Tanzania ni mangapi?
 
Back
Top Bottom