Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

Mkuu, wala sina shida na ukongwe wake, nisome vizuri nilichokielezea. Hivi mzazi wako sababu tu yeye ni mkongwe inawezekana akikwambia wewe ni wa kike na wewe ukakubali , halafu ukaanza kuwa wa kike kweli sababu mzazi ndiye amesema hivyo.
 
Mkuu, wala sina shida ukongwe wake, nisome vizuri nilichokielezea. Hivi mzazi wako sababu tu yeye ni mkongwe inawezekana akikwambia wewe ni wa kike na wewe ukakubali , halafu ukaanza kuwa wa kike kweli sababu mzazi ndiye amesema hivyo.
Hilo eneo umeliona.? Nimekutumia picha hapo. Wakati mwingine ili kujihakikishia mambo pita google kimya kimya.

Yawezekana kakosea spelliing ila hilo eneo lipo na ni forest reserve kama ambavyo nimeshare na wewe hapo
 
Hilo eneo umeliona.? Nimekutumia picha hapo. Wakati mwingine ili kujihakikishia mambo pita google kimya kimya.

Yawezekana kakosea spelliing ila hilo eneo lipo na ni game reserve kama ambavyo nimeshare na wewe hapo
Mkuu, siyo kila kilichopo mtandaoni ni taarifa sahihi. Unajua idadi ya mapori yaliyopo Tanzania ni mangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…