kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mwanaume kuchepuka!! Nikujibu, mwanaume ni utundu tu sio upendo wa dhati ila mwanamke anahamishia upendo wote kwa mwanaume kwa kuwa anamfikisha anapotaka. Mwisho atakuona wewe bwana kama boya tu.