kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Hili ndo la muhimu mengine yanasovikaUmeona Hilo tu
Mkuu ogopa sana mwanamke anayekucheat anakudharau mno anahamisha upendo kwa mchepuko wakeNdo umeona apa tu
Naajiri house gelo afanye kazi za nyumbani.Nagegeda mabinti nje ya ndoa naacha kumjali huyo mwanamke, namwacha afanye anachojiskia yeye akileta MIMBA ndyo ameshajipa talaka hivyoo.Mkuu ogopa sana mwanamke anayekucheat anakudharau mno anahamisha upendo kwa mchepuko wake
Wewe ni mwanaume kweliIla ukichepuka wewe mwanaume usamehewe si ndio?
Ona jinga lingine hili naona upo out of pointKikubwa ni kutafuta pesa tuh
...Usimsamehe mwanamke anayekuuliza maswali ya hivi.Huyo ni jeuri,kiburi na mwenye roho ya visasi!Ila ukichepuka wewe mwanaume usamehewe si ndio?
Bro it's possible to show affection to your kids and yet standing as disciplinarian figure, and the symbol of law and order in your house.Sio wewe ndo unayumba kweli? ukweli ndo upo hivyo aisee.... Ndio Tunawapenda sana watoto wetu.. Lakini usimwonyeshe wife kuwa una hisia kali sana juu ya watoto, kwamba akikohoa kidogo tu kuhusu mtoto basi uku wewe umechanganyikiwa.. 'Wrong' atakunyanyasa kupitia mtoto/watoto.
Bro it's possible to show affection to your kids and yet standing as disciplinarian figure, and the symbol of law and order in your house.
My father loved me so damn much, but haikumzuia to whoop my ass so hard, to the extent unaanza question is this my dad or an imposter, bakora 50 au 60 kwa mpigo zilikuwa kitu cha kawaida mnoo
Yote 9, 10kuwa na pesaOna jinga lingine hili naona upo out of point
Sawa KikweteYote 9, 10kuwa na pesa
ila we jamaaNaajiri house gelo afanye kazi za nyumbani.Nagegeda mabinti nje ya ndoa naacha kumjali huyo mwanamke, namwacha afanye anachojiskia yeye akileta MIMBA ndyo ameshajipa talaka hivyoo.