Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Madanga hamna jaman, na ndoa hazifungwi, ko u Mc hapati,. Au bahati iko kwa Gara B. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja aopoe danga jiji lote lake hili., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani simsikii[emoji23][emoji23][emoji23]

Baba mipasho
 
Kataa hiyo hali utaweza mimi ndo shakuombea hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vinakera sasa hata usafi havijui woiiiiih.
Watafanya usafi muda gani,kila siku kigulu na njia kwenye vigoma[emoji23][emoji23][emoji23]
 
To be honest nilikuwaga against zamani za ujinga.
Lakini niligundua kuwa huwezi kupigana wala kupingana ukweli.
A itabaki kuwa A
Z vilevile.
Pili uhuru wa mtu uheshimiwe
Ahsanteeeeeeeeh, [emoji6][emoji6][emoji6]
 
R.I.P Nyoro ( Marinda )
Walioumbwa kwa mfano wa mungu ni mwanamke na mwanaume waliokamilika then akawabariki ...kinyume na Hapo Ni laana👀
 
Watafanya usafi muda gani,kila siku kigulu na njia kwenye vigoma[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] ndo maan walikamatwa baadhi walipigwa wee,
Nilichoka make ups zao, walitokelezea km majini vilee. Mbavu zangu mie woiiiiih.
 
Mbona najikuta napenda umbea au ndo undengereko wenyewe umenikaa kidume mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] ndo maan walikamatwa baadhi walipigwa wee,
Nilichoka make ups zao, walitokelezea km majini vilee. Mbavu zangu mie woiiiiih.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kichwani wamepiga visaani loooh,usoni mweupe mikono&miguu mweusiiii halafu wanajivisha vipensi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na kichwani wamepiga visaani loooh,usoni mweupe mikono&miguu mweusiiii halafu wanajivisha vipensi
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] kumbe uliona ile video? Uwiiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…