Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako


mashoga wasapoti ushoga + malesbian hawa wote kamata funga jiwe fatuma watoswe katikati ya kina cha bahari waliwe na papa.
 
Mumee huyooooo, [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Utakula kwanza kwanza ndo ule, au ule afu utakula?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lol,
wanachukia hizi mada lakini uzi unatembea kwa kasi ya 5g,

Wasubiri June kwenye Pride Month tufanye yetu,
Mbeeeeeeeengo Zetafongooooooooooooka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji304][emoji119]
 
Na hii ndio ajenda hasa iliyowafanya muanzishe hii mada nyie mafedhuli na waasi wakubwa.

Hakuna mtu anazaliwa akiwa shoga au msagaji. Nyinyi waovu mwisho wenu unakuja.
Kwa utakatifu gani uliokua nao wewe mzinifu, tapeli, msema uongo, msengenyaji, mshirika wa utoaji mimba, mla rushwa, fisadi wa michango ya misiba [emoji1], mtamani wake za watu (kaa mbali na mke wangu cocastic tu [emoji123]), muharibifu wa mazingira, mshirikina, mwizi, mnyanyasaji wa yatima na wajane na maskini,

Mwisho wako utakua mbaya sana, tubuuuuuuuuuu
lol
 
Inaliza.Pole sana mkuu....kila mtu na shida yake anayotaman kuiacha lakini anashindwa
 
Mleta uzi amekaa kimchongo, uzi upo kimkakati, Kitendo cha kusema alifika mshindo ni mkakati, na maswali mengi yapo hapo kwenyr shoga kufika mshindo..
Maswali ya nini sasa ulijua hawafiki mshindo?
Raha ya safari ufike mwisho safari utaishia vipi kati.
 
Wewe ni mtu maarufu? I mean celebrity?
 
Endeleeni na uovu. Moto wa milele unawasubiria.
 

A cry for help that‘s all I see
 

Hakuna kitu hapa chini ya jua hakiwezekani ukiamua.Definetly unahitaji psychologist lakini unahitaji commitment ya wewe mwenyewe kuamua kuacha.
 
I miss you Mke wangu mrembo [emoji8][emoji8]
Sipati Notifications kabisa sijui wana lengo gani hawa JF,

Uko poa lakini???
Niko poaaah mume wangu, [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mic u saaan, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Lol,
wanachukia hizi mada lakini uzi unatembea kwa kasi ya 5g,

Wasubiri June kwenye Pride Month tufanye yetu,
Mbeeeeeeeengo Zetafongooooooooooooka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji304][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] woiiiiiiiiiiih
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380]
 
Mume wangu, mie siwezi kukusaliti, [emoji4][emoji4][emoji4]
Wee peke yako ndo unajua kunikonga, na umeniteka mazima.
 
1 Kor 6:9 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti

[emoji1312][emoji1312]Usimpe moyo
 
Toa ufafanuzi kwenye bisexual njia panda mimi [emoji849][emoji849][emoji849]
Mbona nimeandika hapo juu na umeiquote kabisa hapa mkuu au umechagua tu kutokusoma?!

Bisexual ni mwanaume au mwanamke ambaye anashiriki mapenzi na jinsia yake lakini pia anashiriki na jinsia ya tofauti na yeye.

Mfano mwanaume ambae ameoa mke na ana familia yake ila nje ya ndoa anatembea na mwanaume mwenzake ambaye ni choko.

Au mwanamke ambaye ameolewa,ana watoto na mume wake ila nje ya ndoa yake anajihusisha kingono na wanawake wenzake ambao ni wasagaji....

I hope umeelewa.
 
Watu kama ninyi iltakiwa mpatikane mtengwe chumba kimoja na madem mwaka mzima, na usipo badirika basi, shaba za kichwa zitakuhusu.
Vipi kuhusu wazinzi, waasherati, wezi, malaya, watembea na wake za watu, wanaofira wanawake, wasengenyaji, wauaji wafanyie nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…