Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Wewe hapo una faida gani kwa jamii???Mkuu Culture Me kwani ushoga una faida gani kwa jamii??
Achana na ubinafsi wa kuridhisha nafsi za walengwa, kijamii ushoga una faida gani??
Acha ushogaWewe hapo una faida gani kwa jamii???
Jibu swali ndgu, mi sijauliza shoga ana faida gani kwa jamii, kwasababu najua yeye kama binadamu basi ana faida kwa namna moja au nyingine.Wewe hapo una faida gani kwa jamii???
Labda hajaelewa tu ndgu, ila nimemuuliza huo ushoga anaoutetea una faida gani kwa jamii.Acha ushoga
Kama kwenye hizo dini walisema sodoma na gomora zilizamisha sijui kugeuzwa mawe ya chumvi hawa wa sasa hivi wametoka wapi???Ninacho kubaliana na Dini ya Kiislamu ni kitu kimoja tu.
KUWACHINJA MASHOGA.
Af kumbe mashoga yapo mengi sana humu JF tuweni makini sana washije wakaiba akiri zetu tukaona wanayosema wao ni sawa kumbe ni ushetwan mtupuUmeiweka Kitaalam sana hii,
Big Up,
Hawapendi kuelezwa Facts.
Niko mahali mida hii na mtoto wa Kike mzuuuri. Tunakula Bia na kupapasana, tutaongea kesho tafadharini. Samahani sana.Kama kwenye hizo dini walisema sodoma na gomora zilizamisha sijui kugeuzwa mawe ya chumvi hawa wa sasa hivi wametoka wapi???
Wewe ni Shoga siku ukiwa sawa nitafute nitakufanyia counselling for free.
Hapana. Shoga ni shida kama shida nyinginezo.Af kumbe mashoga yapo mengi sana humu JF tuweni makini sana washije wakaiba akiri zetu tukaona wanayosema wao ni sawa kumbe ni ushetwan mtupu
Msanii huyo ni alikiba na benpaul niliwai date na gay mmoja akanitajia had ommy dimpoz
Love you sana yaani pole na shida zilizokupata.Kama kwenye hizo dini walisema sodoma na gomora zilizamisha sijui kugeuzwa mawe ya chumvi hawa wa sasa hivi wametoka wapi???
Wewe ni Shoga siku ukiwa sawa nitafute nitakufanyia counselling for free.
Nakukubali sana kwa jinsi unavyo toa facts zako kwa hili shoga ingawa na lenyewe linaonekana kama lina PHD ya ushoga kwa jinsi linavyo jibu maswaliHakuna Wanyama wanaofanya kama mnavyofanya ninyi Mashoga.
Yaani mmezidiwa ustaarabu hata na
Wanyama ambao hawana Busara lakini wameweza kutambua mema na mabaya kuliko ninyi.
Mema na mabaya yanatokana na uamuzi wa Jamii husika. Na sio lazima yawe ni Amri za Mungu, jamii zilizo staarabika zimejitungia kanuni na taratibu zinazo waongoza ktk namna ya kuishi
Kwakuwa mmechaguana watu wenye mihemuko sawa na kuamua kuishi pamoja sio kama Mume na Mke bali kama Marafiki na kuamua kuchezeana sehemu za siri, fanyeni hivyo kwa siri kama wanaovuta madawa ya kulevya.
Mkithubutu kuchezeana hadharani mtaadhibiwa.
Hapo ni kwamba mnachezeana tu sehemu za siri na kwingineko. Hakuna ndoa hapo, ndoa inatokana na fasili ya jamii husika.
Tanzania fasili ya ndoa inashirikisha watu wa jinsia mbili tofauti. Mwanamke na Mwanamme.
Kuhusu kuchezeana hadharani.
Mlivyo na akili ndogo, mkiruhusiwa tu kutambulika na jamii. Basi hapo mnaanza kuchezeana hadharani kwa fujo, Club za Mashoga zinaota kama Uyoga, sherehe za Mashoga kila upande ni full fujo.
Ushahidi upo, Nchi zote zilizoruhusu ushoga, Mashoga full time ni kukumbatiana na kubusiana hadharani.
Kuhusu kuzaa. Mashoga hawana uwezo wa Kuzaa wao kwa wao. Kama wewe Mwanamke huna uwezo wa kumzalisha Mwanamke unayejifanya umeoa.
Halafu bila soni unakuja hapa kuandika umeoa na umezaa na huyo rafiki yako wa Kike. Mke na Mke mnazaa vipi ?
Mtu akitoa kauli kama hiyo anaonekana wazi kuwa ni MWENDAWAZIMU.
Ila mkae mkitambua kuwa, hadi sasa hivi Ushoga umekataliwa ndani ya Jamii yetu.
Hivyo ni tendo haramu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee nimecheka sana hongera, [emoji119]Nakukubali sana kwa jinsi unavyo toa facts zako kwa hili shoga ingawa na lenyewe linaonekana kama lina PHD ya ushoga kwa jinsi linavyo jibu maswali
ila komaa mwanangu mpaka likimbie humu tubaki malijari wenyewe.
Hata ivo Mungu ana roho nzuri sana, mimi natamani nikuue ufutike kabisa kwenye dunia hii, lakini Mungu yeye kwa upendo wake bado anakuacha unaishi licha ya upumbavu wako.[emoji23][emoji23][emoji23] Bro mimi ni Mwanamke so ukiniita Dada utapatia zaidi, uamuzi nimeshachukua ninaishi na Mwanamke nishamchumbia na tuna Mtoto tayari,
Ni Happy Family kwa kweli tumebarikiwa Furaha, Amani na Upendo,
Naona unabadili upepo kila muda mwanzo ulikataa kua hakuna wanyama wanaoshiriki same sex naona umeenda kugoogle huko umejionea, sasa unakuja kusema hakuna wanyama wanaoishi pamoja as same sex, lol
Kuhusu Tanzania kuruhusu Ndoa ni suala litachukua muda lakini litatokea na ndio maana tunapigania kuweka mazingira sawa kwa new generation.