Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

HALI UNAYOPITIA NI YA KUJITAKIA NA CHANZO CHAKE NI KUANGALIA VIDEO ZA NGONO SANA HIZO NDIZO ZILIZOWAVUTA WANAUME WENGI KUWA WANAWAKE NA WAZUNGU WANAFANYA MAKUSUDI KUZITUPIA,ILI WENGI MUINGIE KWENYE USHOGA. WEWE SASA NI SHOGA KAMILI. JAPO BADO UNAYO NAFASI YA KUJIREKEBISHA KAMA TU BADO HUJAINGILIWA.
Wanaume wanaisha dar jamani. Bora nao wanawake wana mtindo wao wa kulana vitu wao kwa wao. Vinginevyo wangepata shida sana.
 
Njoo dm nikwambie kitu
 

Njia ya kuwa normal ni nini? Sijaweka uzi huu ili niendelee kuumia ila nahitaji msaada wa kuwa normal
 
Nakazia hapa

Nakazia hapa
 
Na ndio lengo lake atafutwe,ni shoga amekuja kutafuta wanaume huku

What so special hapa jf kuja kutafuta hao unao wadhania? Kama ningekuwa natafuta mtu au Ndio lengo langu si ningetafuta huko walipo?.Ndo maana nakuambia Omba sana Mungu isikupate au na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…