Melelani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 542
- 536
Go to hospital broSitafuti mtu mimi na sio lengo langu….I need a way to be normal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Go to hospital broSitafuti mtu mimi na sio lengo langu….I need a way to be normal
Go to hospital bro
Kuna genge la wanaume mabasha linamilikiwa na Wema Sepetu liko Salasala kama vipi njoo PM nikuunganishe nao
Si unataka wanaume au?Umesoma vizuri nilichokiandika na umekielewa? Tafadhali rudia tena kusoma uelewe ndo ukoment
Acha masihara hata x ujawahi kuangalia au?Sijawah kufanya hivyo napia sina mawazo hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unataka wanaume au?
Njoo dm nikwambie kituHabarini za humu wadau,mimi ni kijana wa miaka 26,mkazi wa jijini dar es salaam.Ninakitu nimeobserve katika maisha yangu amabcho kinanipa huzuni kabisa na sina amani kwa kweli.Nina pesa na nina kazi ila hali yangu ya kimahusiano siielewi kabisa.
Ninaomba ushauri au msaada ili kuninusuru kabisa katika hili janga zito maana ni aibu na pia si sawa kabisa najihisi ni mkosefu sana.
Kiufupi nimekuwa ninavutiwa sana na vijana wakiume tofauti na wakike kiasi kwamba ninaweza nikawa nina demu mkali lakini akipita boy mwenye sura nzuri au smart lazima nimuangalie na pia sipo kama vijana wengine kuvutiwa na makalio makubwa au mguu wa demu mimi ninapenda tu sana sura.
Nimefikia humu kuandika hivi kwa sababu nimeona ni too much na hali inazidi just imagine juzi nilikuwa kiwanja flani kula bata ikatokea kumnotice kijana flani nilifanya hadi juhudi za kuchukua namba yake which is very very wrong.
Tafadhali mnsaidie nisije nikaingia kwenye ushoga au tabia mbaya ambazo sio nzuri,sina wa kumueleza hii kitu hata rafiki zangu wakaribu naona kama nazingua.
HALI UNAYOPITIA NI YA KUJITAKIA NA CHANZO CHAKE NI KUANGALIA VIDEO ZA NGONO SANA HIZO NDIZO ZILIZOWAVUTA WANAUME WENGI KUWA WANAWAKE NA WAZUNGU WANAFANYA MAKUSUDI KUZITUPIA,ILI WENGI MUINGIE KWENYE USHOGA. WEWE SASA NI SHOGA KAMILI. JAPO BADO UNAYO NAFASI YA KUJIREKEBISHA KAMA TU BADO HUJAINGILIWA.
Wanaume wanaisha dar jamani. Bora nao wanawake wana mtindo wao wa kulana vitu wao kwa wao. Vinginevyo wangepata shida sana.
Wewe ni shoga tayari acha kujizungushaBasi niwe ninacontact nae yaani hata sielewi
Kama unataka kusaidiwa tafadhali nenda hospitali ujue utakuna na doctor atakushauri Ila ukiogopa unaweza kukutwa na makubwa zaidi.Nimuone dr wa aina gani? Unajua kuelezea hilo tatizo pia ni jau
Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.
MUNGU HAKOSEI
Nakazia hapaKujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.
MUNGU HAKOSEI
Acha masihara hata x ujawahi kuangalia au?
Na ndio lengo lake atafutwe,ni shoga amekuja kutafuta wanaume hukuUna pesa na una kazi nzuri....
Okay, wahusika wakikusoma watakutafuta.
Wewe ni shoga tayari acha kujizungusha
Na ndio lengo lake atafutwe,ni shoga amekuja kutafuta wanaume huku
Kila mtu ashinde mechi zake joh!Chips ina nguvu kuliko hio taka taka ugali