Lukaku marata
JF-Expert Member
- Dec 4, 2019
- 449
- 752
ukikutana na james delicious wew unaweza kudata kabisaa anyway pole sana.
Stop fantasizing about menHow to go about?
Unatamani kifira? Ptuuuuuuuuu!....Kazi unayo aseeeeKwenye suala la ulaji sio mlaji wa hizo chips…Mimi sijajilegeza Nipo very strong ila ilo pepo la kuwatamani hao mabraza men ndo silielewi
Siyo kweli wako wengi tu wameolewa na mashoga na wanao watoto kabisa tena watu wazima.Me naona wa hivi hata wasithubutu kuzaa. Aishi single tu nani anataka kuolewa na shoga au kuwa na baba shoga. Baki single bro usioe wala usizae usije kuleta huzuni kwenye maisha ya wasio na hatia
Akufwate pm au sio 🥴Mkuu pole sana,nmesoma comment nyingi majibu hayajawa rafiki upande wako,naweza kukusaidia kuepukana na hili,haina malipo ni bure
Mkuu pole sana,nmesoma comment nyingi majibu hayajawa rafiki upande wako,naweza kukusaidia kuepukana na hili,haina malipo ni bure
Ni process. Maana umeingia kwenye ulevi wewe mwenyewe. Njia ya kuacha ni wewe mwenyewe kubadirisha mfumo wako wote wa maisha. Kama unaweza anza kuacha kutumia smart phone. Tumia Kwanza za batan tu. Computer tumia kwa kazi za ofisini tu. Ikiwezekana muda mchache halafu iache hapo hapo ofisini. Anza na hilo kwanzaNjia ya kuwa normal ni nini? Sijaweka uzi huu ili niendelee kuumia ila nahitaji msaada wa kuwa normal
Waliolewa na shoga kwa ridhaa yao au walijikuta wameangushiwa jumba bovu? Hakuna mwanamke anayetaka kuolewa na shoga na hakuna anayetaka kuwa na baba shogaSiyo kweli wako wengi tu wameolewa na mashoga na wanao watoto kabisa tena watu wazima.
Siyo kweli wako wengi tu wameolewa na mashoga na wanao watoto kabisa tena watu wazima.
jitahidi kuona kuwa hilo sio jambo sahihi yani ukiona kabisa unaanza kupata hayo mawazo jikosoee ndani ndani kemea kabisaa hii miili ukiiendekeza unaweza lala na kila unaemuona ubaya wew unatamani mwanaume mwenzio.How to go about?
Ndiyo kabisa wanajulikana kama mashoga laakini wameoaWaliolewa na shoga kwa ridhaa yao au walijikuta wameangushiwa jumba bovu? Hakuna mwanamke anayetaka kuolewa na shoga na hakuna anayetaka kuwa na baba shoga
Haya atafute mke aoe amwambie kabisa anapenda wanaume wenzie sio unafurahi umepata mume kumbe uko na mke mwenzio ana mume wake huko njeNdiyo kabisa wanajulikana kama mashoga laakini wameoa
Naona shetani yupo kazini tena mchana kweupeee!
Indeed you're a gay in the making.
Kinachokuumiza Zaidi Ni hyo " bad mentality" uliyonayo kichwani mwako.Unatakiwa ubadilishe mentality yako from a negative mentality to a positive one.Jisemee kwamba wewe Ni mwanaume kamili na Wala hutakiwi kujenga hisia za kimapenzi kwa wanaume wenzio kwa namna yoyote ile.
Kama unamiliki vitu vyovyote ambavyo vinahusiana na kusupport maswala ya ushoga achana navyo Mara Moja na uvitupilie mbali kbsa.
Wekeza hisia zako zote kwa Demi wako na umpende kwa dhati na kila kitu litakuwa shwari tu.
Haya atafute mke aoe amwambie kabisa anapenda wanaume wenzie sio unafurahi umepata mume kumbe uko na mke mwenzio ana mume wake huko nje
Hapa utaishia kukejeliwa tu.......... nenda kwa kiongozi wako wa dini ukapate ushauri au tafuta wanasaikolojia wakushauri cha kufanyaNijiue au? Naomba msaada sio kejeli
Unaona ... Me nilivyosoma andiko lake sikuhisi nasoma mtu anayeumia hisia, ni mtu almost yuko proud, kumbe top mzoefu huyu anajifanya kaomba namba hajui ya nn, unaowataka utapata fungua pmdogo kupitia huu uzi wako una kili kabisa kua wewe ni shoga
Je, nifanye nini?
Habari za humu wanaForum, Kwanza kabisa nitoe pole kwa watanzania wote katika msiba huu mzito wa rais wetu mstaafu Benjamin WIlliama Mkapa. Niende moja kwa moja katika suala langu labda nitapata mawazo ya kunisaidia katika muktadha mzima wa maisha yangu kwani ninaamini humu kuna watu mbali...www.jamiiforums.com
nyie mbinguni mtakua kuni kabisa
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Kuna uzi wake mmoja anasema alishaanza hiyo michezo, ndio mana nasoma tu comments sina hata la kumshauri.Unatamani kifira? Ptuuuuuuuuu!....Kazi unayo aseeee